ok, poa je uwa unapatikana maeneo gani? nkuhungu, area A, D, C, chamwino, kisasa, au br ya ngapi? ni pm unapatikana wp. ila jioni pale double H sana tu, jumapili cathedral, ijumaa kwa gadafi au nungwi. karibu.
tulikuwa na mwenyekiti wetu anaitwa Maskini Jeuri, sijui kafia wapi. hebu mtafute.
okw poa tutawasiliana, uwa naendaga pale meriwa, na mpk huko nyumba 300 wng, husninyo we ulikuwa mweka hazina nini?
tulikuwa na mwenyekiti wetu anaitwa Maskini Jeuri, sijui kafia wapi. hebu mtafute.