mps
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 406
- 588
Ilikuwa mwaka 2009 nikiwa A-level. Msichana niliyekuwa nimempenda sana na kumwahidi kumwoa mara baada ya kumaliza shule yeye akiwa amehitimu kidato cha nne na kupata DVN 4 ya 26 tukiwa tumekubaliane aende chuo cha certificate akasome kwa ustawi wa maisha yetu ya baadae.
Lakini kilichotokea ni kwamba yule binti aliingiwa na tamaa na kuamua kuolewa na mwanamme mwingine bila hata kunijulisha. Niliumia sana lakini nikasonga mbele, baada ya miaka 3 yule dada kaachika kwa huyo bwanake na kaamua kwenda college na alizaa mtoto mmoja.
Sasa ananishawishi nimuoe nakusema kwamba yule hakuwa chaguo lake na kwamba ni matokeo ya shetani. Nifanyeje wadau?