Awe na sifa zifuatazo
Awe na miaka kati ya 25 mpaka 30
Awe Mkristo
Awe tayari kupima hiv
Awe anaishi dar es salaam
Elimu bachelor ya kozi yeyote ile
Sifa zangu
Nina miaka 33
Kazi; duka kariakoo...
Kwa ufupi ni kwamba huyu binti tumejuana miaka kumi na moja imepita, Mimi nilikua advance yeye alikua madarasa ya chini, offcourse tumepitia vingi sana kuzinguana hapa na pale, kuna kipindi hapo...
Habari wana jamvi!
Natumaini ni wazima wa afya, ni hivi niende kwenye mada husika hapo juu mimi ni kijana mwenye umri was miaka 39, nina mke na watoto 6 ila mke wangu nilimkuta akiwa na mtoto wa...
Unafiki wa hali ya juu utauona kwa Wanandoa wanaoishi mbalimbali miaka yote kwa kisingizio chochote , hasa Kazi.
Na hawafanyi jitihada zozote za makusudi kuonyesha hawakubaliani na huo...
Nafanya maandalizi ya kuanzisha mpango wa kupatanisha wanandoa,kwani magomvi miongoni mwao ni mengi sana na yanasababisha maafa mengi mno.Naomba mawazo yenu kuhusu jambo hili
Habarini,
Hili swali nimewauliza hasa hasa wadada wa humu watoe their honest opinions, ila hata wanaume wa humu mnaweza kujibu,
Kwenye jamii imezoeleka kuwa wadada wanakua na thamani kwenye...
Yale ambayo baba yake alikuwa analalamika kuhusu mama yake 70%+ ni ukweli, wala alikuwa hamuonei mama yake.
Mapenzi ni shirikisho la mifumo hisia yenye kuidanganya nafsi yako kuwa hisia uliyonayo...
Kuna mdau mmoja rafiki yangu anakerekwa sana mtu Umeenda job asubuhi wife anaanza muda uleule asubuhi kukupigia ila hoja anaZokupa ni zile ambazo angeweza ku zisolve bila kuhitaji ridhaa yako...
Nifanye Nini Nataka Kumuoa Lakini Bado Anawasiliana Na X Wake?
Ntamani kujua zaidi hasa kusikia kwa wanawake, mimi ni kijana wa miaka 32 sijaoa ila nina mpenzi wangu ambaye niko naye kwenye...
Wakuu nifanye nini nipunguze hisia za kufanya tendo la ndoa? Naona zimenizidia na mwenza wangu yupo mbali sitaki kufanya usaliti.
Njia gani ambazo hazina madhara zitanisaidia kupunguza wakuu?
Vigezo gani huwa vinatumika kupanga na kuamua kiasi cha thamani ya mahari ya mwanamke ambacho mwanaume anatakiwa aitoe kwa upande wa familia ya wazazi wa mwanamke?
Huu uzi naundika mahususi kwa kwasababu ya mdau mmoja ambaye anatupigia sana makelele hapa jukwaani kuhusiana na mwanamke bikira,kwa mtazamo wake anaona mwanamke bikira ndio sababu ya utengamano...
Sadio Mane kwa sasa anachezea timu ya Al Nassr, Mshahara wake kila wiki ni takribani dola za kimarekani 830,000 ambazo ni sawa na shilingi za kitanzania bilioni mbili kila wiki.
Kwa nchi kama...
Basi nimeshiba zangu hapa ndizi nyama, nina GB za kutosha, uhakika wa kula mpaka keshokutwa ninao., Basi hii ikanifanya hisia Zangu kwenda mbali zaidi.
Nipo nawaza na kuwazua kwanini tuwapo...
Hii haishii tu kwa wanaume hata kwa upande wa wanawake.Kwanini wanawake wenye tabia nzuri sana huishia mikononi mwa wanaume wasiokuwa na nia njema .
Ujumbe huu utakuletea mwanga kuelewa undani wa...
Expectation kills , they kill us once when we wait for the same things we did for people. They kill us twice when we don't really get anything.
Maisha yanaenda kasi sana, leo nmekumbuka tukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.