Kwanini mwanamke akikutega, usipomtongoza anakuchukia?

Kwanini mwanamke akikutega, usipomtongoza anakuchukia?

Bigbootylover

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
2,847
Reaction score
1,837
Wakuu,

Hivi huwa ikoje hii, yaani utakuta mwanamke anakutaka anajitahidi kukutega, anafanya viroja vyake mpaka anaishiwa ila kidume unakuta huna habari nae. Baada ya hapo akishagundua huna mpango nae, basi huanza kukuchukia sijui ni kwanini hili hutokea kwa wanawake.
 
kweli kabsa, mwnyw nimeshawah kuchukiwa na madem wawili kwa vipndi tofauti kisa ktu kunionesha kunipenda af mi nilipotezea km vilesielewi ktu
 
kweli kabsa, mwnyw nimeshawah kuchukiwa na madem wawili kwa vipndi tofauti kisa ktu kunionesha kunipenda af mi nilipotezea km vilesielewi ktu
Umeona eeeh mkuu, sijui wana nini hawa, me ishanitokea hadi kwa ndugu yangu, akaanza kunitangazia kwa watu eti me Hanithiiiiiii
 
Hiyo ni tabia ya wanawake Malaya...hasa wale wanaojiuza na huwa wanachukia kwakuwa watakosa pesa.

Pia ni tabia ya wanawake ambao wamekuwa disappointed au kupata stress kutoka kwa wapenzi wao...au pia wale walioachana na wapenzi wao na wanataka faraja ya ghafla kwingine.

Mwanamke Mzuri na anayejielewa na asiye na njaa hawezi kuchukia...wewe ndio utahangaika hadi umpate yeye yuko busy na ishu zake hana habari.

Chunguza utagundua.
 
Wakuu hivi huwa ikoje hii, yaani utakuta mwanamke anakutaka anajitahidi kukutega, anafanya viroja vyake mpaka anaishiwa ila kidume unakuta huna habari nae! Baada ya hapo akishagundua huna mpango nae, basi huanza kukuchukia sijui ni kwa nini hili hutokea kwa wanawake!

Inategemea wamkwepaje
 
1470465330848.jpg
 
Wakuu hivi huwa ikoje hii, yaani utakuta mwanamke anakutaka anajitahidi kukutega, anafanya viroja vyake mpaka anaishiwa ila kidume unakuta huna habari nae! Baada ya hapo akishagundua huna mpango nae, basi huanza kukuchukia sijui ni kwa nini hili hutokea kwa wanawake!
Mkuu umeongea kweli na ukiwafata wanaleta mapozi hawakupi nyapu sasa unajiuliza wanataka nini hawa?
i hate this devil sijui hata kwa nini Mungu aliwaumba. vikipata shida vitakuandama kinoma ila we ukiwaomba uchi hawana habari na wewe.
 
Back
Top Bottom