Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 10,931
- 31,140
Heshima kwenu wadau,
Jambo hilo lilitokea juzi jioni, bahati ilio nzuri siku hio tulikua na mkesha sikuweza kuhisi maumivu nilio nayo sasa ni miezi 4 iliopita niliukutana na binti mmoja kanisani, sikuacha kumwomba Mungu anipe kwaajili ya huyo binti, maombi hayakua ya muda mfupi pamoja na sadaka na mfungo, ndipo nilipo mtokea pale pale kanisani haikua rahisi kumfikishia ujumbe na pia hakuupokea kwa urahisi.
Ila baada miezi 2 alikubali kuwa nami natulipanga na kukubaliana tuishi kitakatifu mpaka siku ya ndoa na tulipanga Mungu akitupa uzima mwezi wa 2 tungeenda kwao, akawashirikisha wazazi wake naminikawa shirikisha ndugu zangu tukaendeleaje kuombeana na kutiana moyo maana ye alkua na hg kwa mtu sa alikua akinyanyasikamara nyingi.
Sasa bwana mwanzoni mwa desemba alibadilika kwenye mawaailiono mengi ya kutia shaka yalitokea hadi karibu na sikukuu aliniambia ukweli, yakuwa alikua na mtu wake kabla yangu mwana chuo ila dhehebu tofauti kwa hivyo saivi anatathimi nani kati yangu na huyo atakae mfaa ila akaniambi nisiwe na shaka nafasi yangu ni kubwa ila mpaka mwezi wa 4 nijiandae sikufa moyo ila nilimpenda sana nakuzidi kuomba kwa Mungu juu ya hili, ila ye hana muda nami japo kukutanaga nje ya kanisani kwake haiwezekani,nikimpigia hapokei mara hapatikani nikajipa moyo tuu.
Kwa sisi wakatoliki katika ibada zetu kuna kukomunika na ni kwa asie hatia ndani ya moyo wake,sasa binti huyo sikuwahi kumuona akiacha kukomunika ila jumapili ya juzi ukiacha ya jana nilishutuka kidogo kwani hatujaongea wiki 3.
Nikatia mkazo kumtafuta ingawa ilikua ngumu kupokea simu yangu lakini Jumamosi aliniambia tuishie tu pale hawezi kumuacha yule, na samahani nyingi niliumia ila mkesha ulinisaidiia na jambo kama hili lilinitokea tena 2013, roho inaniuma jamini yaani kila nikiona mtu alie vaa sketi miguu inakosa nguvu sijui nitaponaje hili niombeeni naomba jamani.
Mungu awe nanyi.