Sisi wanaume yetu mpira na sasa hivi mashabiki wa Arsenal wanachekaaaaa huku wale wa Man u wakiendelea kufa kwa presha,
Nirudi kwenye mada unajua wanawake wanapenda tamthilia hasa za kifilipino...
Habari za hapa: kwenye mahusiano hasa kipindi cha urafiki wa kimapenzi, kila mtu huwa anajitahidi kufanya mambo kwa kushtukiza (suprise). Hii imenitokea weekend iliyopita lakini imeniweka kwenye...
wanawake wanao'olewa na bikra asilimia kubwa wanakua wanatumia sana M kwakua wanahofia kudhalilisha familia zao hivyo wanaamua wazitunze na kujiamulia kutumia sehem ambazo ata MUNGU amezikataa...
Kuna tofauti kubwa kati ya mabinti wa UDSM na wale wa UDOM. Mbali na kwamba wote ni wazuri na wamemeenda vidato lakini zipo tofauti kubwa baina yao zinazowatofautisha. Kwa ujumla tofauti zao ni...
Najua muda huu wengi mtakuwa na familia zenu mmepumzika huku mkijadili siku ilivyokuwa na mwengi mazuri huku mkiwa bega kwa bega na wenza wenu [kwa wale wenye nao] isipokuwa wale mababzazi...
Nina tatizo ambalo ni peculiar!
Tatizo ambalo kwa kweli silipendi na huwa lina nisononesha!
Nina uwezo wa utani mwingi na ucheshi, na vile vile naweza kutongoza bila hata ya kudhamiria.
Pochi...
Nimekuwa nikijaribu kuzicontrol pesa,lakini zoezi hili limenishinda mpaka najikuta pesa ndio inaniendesha mimi badala ya mimi kuicontrol nakujikuta nafanya mipango ambayo sikutarajia mara...
Naomba msaada wenu wadau wa MMU...
Nimejaribu kutafuta vitabu vya hadithi za watoto vya kiswahili katika Jiji la Tanga nimeambulia kupata kitabu kimoja tu. Labda mikoa mingine inawezekana vitabu...
Salaam wana jamvi!
Naomba niende kwenye point.
Imekua jambo la kawaida kwa Me/Ke kuonesha upendo wa dhati na kila mmoja kumjali mpenzi wake hasa wakati wa kutongozana na mwanzo wa mahusiano...
Habari zenu wana MMU?
Kuna kitu nimejifunza leo kutoka raia wa Kenye na Congo Drc. Kwa mujibu wa wa-Tz waliopita na kuishi huko, inasemekana kwamba, raia wa mataifa haya hawanaaibu hata kidogo...
Hii thread ni kwa wanandoa especially upande wa kiume,lakini nitashukuru sana hata upande wa kike ukachaingia:Wazee hebu fikiria tangu ulipomjua huyu ambaye sasa hivi unamwita mke,anzia tangu...
Mungu nijalie demu mpenda pesa,
Kilasiku nipigane kua bakharesa,
Asinipende mimi apende verosa,
Wanaomegewa wengi ndio kitu wamekosa,
Malighafi ya suruali si boxa,
Siri nyingi mahali dingi...
Naomba wale wazoefu wa masuala ya mapenzi wanisaidie kwa hili,
Sifa zipi zimekuwa za msingi kwa mwanamke au mwanaume anayeingia maisha ya ndoa?
1. Mimi najua moja tu upendo wa kweli zingine...
Valentine kama wengi tunavyoifahamu ni siku ya kuonyesha upendo wako kwa yule umpendaye. Vipi kipi kimeongezwa ama kupunguzwa ili kuleta tofauti na mwaka jana? Bado nguo ni nyekundu ama kuna...
Nachukia wazo la watu kutoka nje ya ndoa zao kama ambavyo nachukia wazo la watu kuingilia ndoa za wengine. Siku zote anaetoka nje ya ndoa yake anastahili lawama, ila sio wote wanaotoka nao...