Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari ya muda huu wanakijiji wa kijiji kitulivu cha MMU,kijiji chenye amani,furaha na ukarimu wa hali ya juu hata vijiji vingine kama siasani huwa wanakimbilia huku kunapotokea mtafuruku...
5 Reactions
71 Replies
10K Views
Hello everyone, Iam Colins,29 yrs male,Dsm. Iam friendly,fun,charming,easy to get along with,honest and genuine. I work. Looking for friends,those i can talsocialize and share experiences. I enjoy...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
hivi wanawake mmekuaje mbona siwaelewi vile hasa wa mjini mmekuja kua tegemezi hasa mnapopata boyfriend mpya mara naomba hela ya vocha,mara ya saloon,mara kodi ya nyumba imekwisha,mara nitoe out...
6 Reactions
133 Replies
12K Views
Katika hali ya kushangaza kuna jamaa kaja pm na kuamua eti kuniuzia aliemwita mpenzi wake ambae hampendi,charting ilikua hivi: jamaa:oya vp? Sam Love:poa nambie mkuu? Jamaa:shwari,sasa kunaishu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi ni mgeni katika jamiiforus nimetoka kenya mombasa.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenyu wakuu. Kwa kawaida kila anaejiingiza katika mapenzi, bila shaka anakuwa na matakwa/mategemeo yake! Katika gurudumu la kuendesha mapenzi hayo, mtu anaweza asiyapate yale...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Naomba kusaidiwa jamani. Je, mila na desturi zetu zinasemaje kuhusu mwanamke/msichana kumnunulia zawadi za nguo za ndani kaka yake? Hivyo hivyo kwa mwanaume/mvulana kumnunulia dada yake...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nina miaka 21,natafuta mchumba(16-20),awe na mvuto.kabila lolote MAWASILIANO: 0759362775 Facebook:youngdenny Denis George.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nina miaka:21 natafuta mchumba wa kihindi, VIGEZO: Awe mrefu kiasi Awe na miaka(16-20) Asiwe mpenda pesa cont:0759362775
0 Reactions
17 Replies
5K Views
ushauri jamani wana JF Umeamua kuingia katika mahusiano na mwanaume uneyefikiri kuwa kuwa ni chaguo sahii kuwa nae na unampenda sana. Kakujengea mazingira ya uwazi, upendo mpaka mmefikia...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna MSEMO WA MAJUHA Ambao Nimewahi Kuusoma Mahali Usemao, "VIRGINITY IS NOT DIGNITY BUT LACK OF OPPORTUNITY" Yaani Kwa Kiswahili Inasema Hivi, "UBIKIRA SI KIPIMO CHA UTU NA KUJITUNZA BALI NI...
10 Reactions
30 Replies
15K Views
Ndoa ni jambo la muhimu sana katika maisha ya mwanadamu.hivyo kabla hujaamua kuingia katika huu mkataba ni vizuri kufahamu mambo ya kawaida lakini ni muhimu sana 1.Mwanamke huingia katika ndoa...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Ingawa tendo la ndoa lisipofanywa kwa kuzingatia kanuni na taratibu, sambamba na umakini, linaweza kusababisha maradhi, lakini kwa wanandoa, tendo hilo linatajwa kuwa na manufaa mengi kiafya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwanza kabisa napenda nikushukuru kwa kusoma barua yangu japo sijajua sanduku lako la posta.Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 26 nimebahatika kupata elimu ingawa ni kiduchu navoiona ni elimu ya...
0 Reactions
119 Replies
13K Views
Habar wana JF nadhani wote kwa uwezo wa Mungu ni wazima Nashanganzwa sana na vijana wenzetu kuanzia umri wa miaka 20-28 kwa jinsi wanavyopendwa kulelewa na wadada wenye uwezo kifedha Nimeshndwa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mdada awe mrefu, mweusi umbo la wastani, ajiheshimu na awe msiri pia. Mimi ni kijana umri 29 mrefu wa wastan other things we can talk in private if you are interested, i dont care if you are...
0 Reactions
74 Replies
8K Views
.YDYUF
0 Reactions
0 Replies
774 Views
Kijana mmoja jijini Mbeya amechezea kichapo toka kwa ndugu wawili na jamaa mmoja wa ndugu hao kwa kudaiwa anahusiano wa kingono na mke wa kaka wa hao ndugu kipigo hicho kimesababisha kifo cha...
1 Reactions
65 Replies
7K Views
Mwana MMU habari za majukumu. Kuna kitu nilikuwa nawaza nikajikuta nimewaza mbali sana wakati huo ndo damu ikiwa inachemka haswa. kuna siku nilishawahi kupitiliza kituo baada ya binti nilikuwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni visiku vichache vimepita tangu niachane na alienipenda kutokana na sababu nilizowahi kuziainisha, Ila nafurahia maisha ya kuwa single kwakua unaishi unavotaka na hakuna kufikiria unaibiwa wala...
0 Reactions
98 Replies
9K Views
Back
Top Bottom