Mwanaume hahitaji Mwanamke mwenye Sura nzuri kama malikia wa nyuki na Makalio yanayoweweseka akitembea kama mshumaa uliopulizwa na upepo wa bahari ya Hindi,Hizi ni sifa temporary kwa ajili ya...
Habari Asubuhi wabunge wa bunge tukufu la MMU,
nimeona tushirikishane kidogo hii habari kutoka mwananchi...........Nanukuu
"Katika maisha ya familia ndani ya jamii ni muhimu kwa mzazi kujenga...
Upo katika mihangaiko yako ya kila siku lakini ghafla umemkumbuka mkeo na kuamua kupita dukani na kumfanyia shopping ya nguvu Kama upendo wako kwake,
Umeamua kurudi nyumbani bila kumpa taarifa...
WANAWAKE wameshauriwa kuacha kutumia sabuni za kunawia sehemu za siri ambazo hudaiwa kurejesha ubikira kwani zina madhara makubwa ikiwemo kusababisha kansa ya shingo ya kizazi.
Mkaguzi wa Dawa...
Hivi jamani kwanini cheti cha ndoa kisingekuwa mnapewa watu mshazeeshana kuliko kupewa wakati ndokwanza mnaanza mapambano kama vyeti vingine kuvipata mpaka uvisumbukie nachenyewe kiwe hivyo et.
Hbr wanajamii?,naomba ushauri ni wapi au nani ni sehem au mtu sahihi wa kuomba atusuruhishe kutoelewana na mke endapo sisi wenyewe tumeshindwa kufikia muafaka baada ya kujaribu kujisuhisha kwa...
Wakuu,
Kuna watu wakiwa kwenye relationshp wanakuwa na mikwara sana kwa wapenzi wao sana sana wanaume, unakuta anamkosea gilfriend wake haombi hata msamaha, alafu mwanamke akichoka hayo manyanyaso...
Wanawake karibu 90% wametoa mimba,
40% wamezaa kabla ya ndoa,wanaume,
40% wamezaa nje ya ndoa zao,
80% wana watoto nje ya ndoa.
Wanawake ni waaminifu kwenye ndoa kuliko wanaume.
Wakuu nafikiri mko poa kabisa,kuna kitu huwa najiuliza mpaka nimeamua kulileta kwenu.
Kuna rafiki yangu wa siku nyingi sana ana mke na amedumu nae kwenye ndoa zaid ya miaka kumi.
Wamekua na...
Waungwana habari ya mchana?
Naomba ushauri nina mwaka sasa katika ndoa jana katika kugegeda nimeona tatoo ya ex wake wife imejificha sana chini ya ---- kumuuliza amekua mkali inanipa ugumu sana...
"KUFA KUFAAANA"
Kwanza nianze kusikitka kwa kuchelewesha ajira za walimu lakn pia naiipongeza wizara IMENIFANYA NING'OEE MREMBO ALIYENITEMA, dah kuna mrembo nilimtongoza akiwa chuo cha ualimu...
Nilikua mwajiriwa katika kampuni moja maarufu jijini dare s salaam , katika kuajiriwa kwangu huko nikawa msaidizi maalumu wa bosi wa kampuni ile , basi siku moja moja nilikuwa naenda kujirusha na...
Valentine died for love
.
Romeo died for love.
Jack (Titanic) died for love.
Samson (Bible) died for love.
Hercules & Archilles died 4 love.
Even Jesus Christ died for love!
Dear Men...
kwa taarifa tu, maana ya kuolewa ni kutolewa bikra!!
Vivyo kwa wadada,m2 wa kwanza kujamiana naye huyo ndio mme wako,mtafute akuoe na si m2 mwingine!!
Hivyo mtu anadhani ameoa kumbe anakaa na...
Kuna ka ex kangu sijui kanantaftia nini mie mara kaje kakitoka chuo eti kanataka maji, mara kanataka nkakope hela sometymes huwa nataka so ipi itakua njia nzuri nchukue sheria kiunoni, sheria...
Salamu wana JF. Kuna mtu mmoja ameniomba ushauri lakini nimeona ni vema kushirikisha wanajukwaa ili tuweze kumpatia jibu lililo sahihi.
Suala lenyewe lipo hivi: Nina jirani yangu ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.