Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,859
- 113,321
Salaam wana jamvi!
Naomba niende kwenye point.
Imekua jambo la kawaida kwa Me/Ke kuonesha upendo wa dhati na kila mmoja kumjali mpenzi wake hasa wakati wa kutongozana na mwanzo wa mahusiano.
Baada ya mahusiano kuakaa kwa muda mrefu ama baada ya kuzoweana, mara nyingi mambo hubadilika badala ya furaha, huzaa mamatatizo kama, kutokujaliana, mapenzi kupungua, maneno matamu hutoweka, kutokujipenda, kuhisi hakua chaguo lako, kujuta na kadhalika.
Nandipo hapo najiuliza, kwanini inakua hivi?
Nawakilisha wana MMU.