Nje ya box

Nje ya box

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
11,083
Reaction score
12,326
Mungu nijalie demu mpenda pesa,

Kilasiku nipigane kua bakharesa,

Asinipende mimi apende verosa,

Wanaomegewa wengi ndio kitu wamekosa,

Malighafi ya suruali si boxa,

Siri nyingi mahali dingi amekosa,

Demu washida na raha namisoto sana,

Huyo demu hanifai changamoto hana,

kiwa demu wako anapenda vidogo,

Huwezi kua na vingi nakua kigogo,

Demu amsifie sana boss wangu,

Nikasirike Kesho nijenge kiwanda changu,

Sitaki demu wa kitanga- jioni moja khanga- tayari amejipanga-kwamabusu mangapi,

Demu nnayemtaka-manka wa kichaga -jioni anaulizaga -umeingiza shingapi,
 
Hizi lugha zenu vijana zatupa tabu sana sisi wazee kuzielewa...
 
Nicas Mtei

ananza kukagua wallet na kuomba password ya ATM yako utatoa macho kama umebanwa na mlango
 
Last edited by a moderator:
Malighafi ya suruali si boxer.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom