urafiki wa wadada vs urafiki wa wakaka

urafiki wa wadada vs urafiki wa wakaka

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,011
nimeichomoa huko cheka na kitime.



WADADA STYLE
MDADA 1: Hello mpenzi mambo
MDADA 2: Niko poa sweety, dah umenikumbuka mamii
MDADA 1: Yaani nimekumiss, nikaona nikupigie nikwambie leo naja kwako
MDADA 2: Dah nitafurahi mno mpenzi, shosti navunja safari zangu zote nakusubiri
MDADA 1: Basi baadae sweety tutaonana...........Akikata simu tu MDADA 2, anamwambia mdogo wake
MDADA 2: Yule Malaya kafosi kuja kunitembelea sijui ana umbeya gani? Au kaishiwa anataka nijee nimnunulie bia za bure, ataula wa chuya halooooo
WAKAKA STYLE
MKAKA 1: We mwendawazimu uko wapi?
MKAKA 2: Hii kali masikini bingwa wa kubip leo umepiga? Mkeo kakuruhusu leo ?
MKAKA 1: Hivi kwanini hujafa watu tule pilau?
MKAKA 2: Kufa sifi na leo nakuja kunywa bia bili yako, haya nikukute wapi?
MKAKA 1: Pale kwenye baa anayonywea baba yako, usipokuja ntashukuru maana hela yangu ina masharti, hakuna kulipia masikini. Alipokata simu tu MKAKA 1 akamwambia mkewe,
MKAKA 1: Yaani huyu jamaa, ni rafiki yangu toka utoto, tukikutana huwa raha sana, ngoja nikamtukane hukohuko bar.
 
Hahahah *****. Babu mecheka mpk mepaliwa na Guiness.

Namshukuru Mungu kuniumba Mwanaume.
 
Ila kweli urafiki wa wanawake wengi ni wa kinafiki,wanajidai wanapendana sana kumbe usoni tu moyoni hakuna hata chembe ya mapendo.
 
Wanawake wengi ni wabahiri sana, au kwakuwa pesa yao wanaipata kwa ... Red Giant
 
Last edited by a moderator:
aise mazee umejuaje?
Yaani hujakosea kichaa wangu !!!
 
Huu ni ukweli mkubwa .....!!!!!!!!!
 
Mada inawakalisha msemo usemao'wanawake hawapendani'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom