Valentine ya mwaka huu vipi? Kuna nini kipya?

Valentine ya mwaka huu vipi? Kuna nini kipya?

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Valentine kama wengi tunavyoifahamu ni siku ya kuonyesha upendo wako kwa yule umpendaye. Vipi kipi kimeongezwa ama kupunguzwa ili kuleta tofauti na mwaka jana? Bado nguo ni nyekundu ama kuna mabadiliko ya kidijitali?
 
Hakuna jipya zaidi ya maambukuzi ya magonjwa ya zinaa na UKIMWI kuongezeka.
 
Back
Top Bottom