Girl friend wangu alikuwa akisoma katika chuo kikuu kimoja hapa nchini, Alikuwa na tabia ya kuja kunitembelea mara nyingi siku za wkend kuanzia ijumaa jion mpaka jpili anarejea chuo.Ndan ya siku...
Kuna jamaa yangu amepata janga,
Amepigiwa simu na baba mwene nyumba wake akamtaarifu kwamba amepata taarifa zenye ushahidi kwamba yeye huyo mshkaji wangu anatembea na mke wake, na akirudi lazima...
Heshima kwenu wenu
Nilikuwa napita ofisi moja nikakuta mada inaendelea ikabidi nivute kitu nipate mawili matatu ,ingawa nimeondoka na swali kichwani.
Eti long distance mwanaume unapoondoka na...
Ni kama chanda na pete. Inajulikana kama muongo huongopewa. Wengi wetu husema na kuambiwa kuwa ni wapenzi wa pili tangu tuanze kugegedana. Ukibisha uliza.
Uzuri wa uongo wa mapenzini husemwa...
Habari wana jf?am ouky but not happy kwa sababu napenda kupendwa na ninajua kupenda lakini nakuwa very dissappointed kila nikitongozwa nampata mme wa mtu au ndo yupo kwenye maandalizi yakuoa na...
Mwambie mpenzi wako 'I love u baby'' atakujibu ''I love u too baby'', mwambie '' I miss u baby'' atajibu 'I mic u too baby' sasa mwambie NITAKUTUMIA 100,000 KWENYE MPESSA, AKIJIBU NAMI NITAKUTUMIA...
Hivi ni sahihi kwa mume wa ndoa kumsupport mke wa ndoa kutoa mimba...kwa sababu tu hayupo tayari kupokea mtoto wa pili na wa kwanza ni mdogo wa 1 year.....je mune huyu ana mapenzi ya dhati kwa mkewe?
Kwanza nawapongezeni sana kwa kuweza kuwa pamoja hadi leo,Mungu awasimamieni hadi mfikie ndoa
Kwa wale ambao mko ndoani nawapongezeni sana kwa kuwa ndoani hadi leo pamoja na majaribu na changamoto...
Yer 32:26-27 Imeandikwa
"Tazama mimi ni Bwana Mungu wa wote wenye mwili. Je kuna neno gani gumu nisiloliweza? Neno hili liondoe kila kilicho kigumu ktk maisha yako, Mungu akutendee miujiza...
Kiukweli jana nimeamini kuwa kuna mtu unaweza kuonana nae kwa mara ya kwanza na hujawahi kuongea naye ila ukamchukia mpaka basi.
Hii kauli inayotumiwa mitaani "damu hazipatani", ni kitu cha kweli...
Marafiki zangu kuanzia leo nafunga zipu yangu maana nimeifungua vya kutosha na yule demu wangu kicheche nimemwacha rasmi baada ya kupima UKIMWI nakujikuta sina maambukizi,,ni uamuzi mgumu sana wa...
Wanajamvi habari zenu, naombeni ushauri tangu ni balehe sija wahi kumpend mpenzi (msichana) kama nionavyowengine walivyo maana utawakuta mtu na mpenzie wanalishan ice cream, amekaa kwenye mapaja...
Wajameni habarini za mchana?
Najua muko poa na kama kawa wale waliohadiana kutoana lunch wamefanya hivyo na wale wa kuchomeshwa mahindi nao wameyachoma sanaaaa hadi yameungua
Msijali hata na...
Za kufunga madirisha yote kwenye mabasi, kiasi cha watu kukosa hewa kabisa,eti kisa wanaogopa upepo utavuruga nywele zao walitoka nazo salon ili kwenda nazo safarini vijijini kwao kuwakoga...
Wakuu salaam,
Ninaomba kama kuna mtu anamfahamu Anna Dominick. Aisoma Ruvu Sekondari O level na alimaliza 1989 na baadaye kwenda A level Kilakala. Tulipotezana tangu alipomaliza A level na kwa...
​
I So Much Hate The Way My Girlfriend Dresses.
I've complained over and over again but it seems I'm not getting through to her. She doesn't think a woman can be sexy without showing body...
Wakuu walalaaam,
Wengi wetu tumewahi kuona wazazi,ndugu, marafiki, majirani hata wewe mwenyewe kuwa ndoa uliyokuwa umeiamini sana au ya uelewano wa kawaida tu imevunjika.
Baada ya wanandoa...