Habari zenu wadau.
Mwanangu ana umri wa miaka mitatu katahiriwa agosti mwaka jana.
Sasa tokea apone mkono mara kwa mara anapeleka kunako dudu, je hii ni kawaida kwa wanaume, na vipi haina...
Jamani nasikiaga tu suruali ya kike, shati la kike kaptura ya kike etc mbona sijawahi kusikia gauni la kiume, sidiria ya kiume, gaguro la kiume, blauzi ya kiume etc?
Wakuu,
Kuna hii website iliyojulikana sana miaka ya nyuma, hasa kwa mateenagers. Enzi hizo bado nipo sekondary, nakumbuka, mtu uliweza kuingia kirahisi kwa kucreate tu username halafu ukajiunga...
Kanipa mimba hataki kueleweka, katoa mahali nyumbani harusi ilikua mwezi wa 5 tangu nimemwambia ninamimba anarusha miezi mara wa 7 mara wa 10 sasa kasema mwaka kesho, wazazi wa pande mbili hataki...
Wachezaji wawili wa timu ya Taifa ya wanawake Twiga Stars wamesimamishwa kuichezea timu hiyo kwa kujihusisha na ulevi.Hii ni skandali ya pili kuikumba timu hiyo baada ya ile ya usagaji iliyoibuka...
msichana wife material anatafutwa.
sifa zinazotakiwa:
Age not above 35
Education....not below form iv
Religion..any but christian will be preferred
Awe ready for marriage a year later.
Awe...
Jameni waungwana nimekua nashindwa kutengenanisha hasa juu ya mapenzi ya sasa i would like suggestion.JE MAPENZI YA SASA HUA YANAANZA MAPENZI NDIO PESA IFUATE AU INAANZA PESA NDIO MAPENZI YAFUATE...
1: Flat mbele na nyuma n very slim! Hawa huwaga mamiss mara nyingi wanafanana na no 1
2:Mbele flat nyuma maashallah ,wapo japo si wengi kivile , hawa wamefanana na no 5
3:Shepu no 8,hapa ndio...
Habari ya mapumziko wanakiji wenzangu, basi kama ilivyo kawaida ya kijiji chetu ni kushirikishana katika mambo yanayotujenga na kuimarisha mahusiano yetu na si kuboa ndo maana kijiji kina...
Raia wa Kenya aliyefahamika kwa jina la Francis Kevogo, amelazimika kumtoa mkewe mwenye umri wa miaka 43 ili kufidia deni la Sh900 za Kenya (Sh17,100) analodaiwa na kijana wa miaka 22, Patrick...
Najisikia leo kukaa na demu ambaye sijawahi kumuona, nikae naye walau hadi mishale ya saa 2 hivi; tukapate lunch, vinywaji, tubadilishane mawazo ila tusiingie kwenye majaribu ya kuvunja amri ya...
Ni mdada tunaheshimiana sana na pengine amekuwa kama adopted sister kwa upande wangu, anajua A - Z kuhusu majanga yangu na wadada wa mjini na pengine anatumia muda wa kutosha kunishauri.
Sasa...
GT ili jambo nimekuwa likinishangaza na kunihudhi kwa muda sasa, wanawake walio wengi hasa wadada wanapenda kuanika kufuli zao nje. Hii inakera sana hasa katika nyumba hizi za kupanga, unakuta...
Wote wenye uzoefu nijuzeni wake kwa waume.
Baada ya siku za mwanamke kuonekana yaani hedhi au kwa kingreza "MP" inachukua muda gani toka siku ya kwanza kufikia siku ambazo akifanya mapenzi...
Sio kila siku nyuzi za Mapenzi tu humu, Leo tubadilishane kwa kujua Mpenzi wako unamwitaje kwa Kilugha Chenu....
Mimi kwetu KISUKUMA
Namuita "Munhya wane"
Samahani kwa msiojua kikwenu.
Heshima mbele.
Nimejiunga JF mwaka 2012 ila mwaka jana sijapata nafasi ya kupitia JF kutokana na ubize wa masomo ya sekondari yaliyopelekea kumaliza vizuri, makofi tafadhali.
Baada ya kurejea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.