Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
Wakuu,
Kuna hii website iliyojulikana sana miaka ya nyuma, hasa kwa mateenagers. Enzi hizo bado nipo sekondary, nakumbuka, mtu uliweza kuingia kirahisi kwa kucreate tu username halafu ukajiunga na chat rooms. Kichekesho ilikuwa ni ile interface ya kukuwezesha kubadili ID faster na kuanza kuchat na mtu yuleyule kwa PMs (sisi tulikuwa tunaita chamber) halafu unashangaa anaanza kukupa details na info tofauti kabisa na alivyosema mwanzo kuhusu yeye.
Nilijitengenezea marafiki wengi sana, na nahisi wengi wamehamia JF. Kulikuwa na IDs maarufu (mfano Nduka Original, VANessa, etc.,) kama ilivyo JF. Wenye hizo IDs hata ungelog in saa ngapi, lazima ungewakuta chat room.
Hivi nani anawafahamu wamiliki wa marafiki.com ili nione kama nakutana nao tuirudishe katika level iliyokuwa nayo hapo awali. Kama vipi niongee nao ili niwanunulie hiyo domain + servers na facilities zingine, hata source code ili mie niendeleze, maana mtu unaweza kupiga fedha sana siku hizi ukiwa na infrastructure kama hiyo. Naitaka domain ya marafiki.com kwa sababu ilikuwa ni maarufu kwa hiyo ni rahisi kutake off maana najua hata hapa JF hasa MMU kuna wadau wengi walishawahi kuwa marafiki.com addicts.
Kuna yeyote mwenye fununu kwamba wamiliki wa marafiki.com ni akina nani?
NB: Nilifungua website yao, siku hizi haieleweki! Halafu nikapata email kutoka website nikawaandikia, hawajawahi kunijibu mpaka leo.

Last edited by a moderator: