Sio kila siku nyuzi za Mapenzi tu humu, Leo tubadilishane kwa kujua Mpenzi wako unamwitaje kwa Kilugha Chenu....
Mimi kwetu KISUKUMA
Namuita "Munhya wane"
Samahani kwa msiojua kikwenu.
Duh... Hebu ngoja nimuulize kaka yangu Mwita Maranya....
Mkuu Excel unajua uniPM nije kuandika hapa make aibuuu!!!
Kanyoo kane!
Kanyoo kane!