GT ili jambo nimekuwa likinishangaza na kunihudhi kwa muda sasa, wanawake walio wengi hasa wadada wanapenda kuanika kufuli zao nje. Hii inakera sana hasa katika nyumba hizi za kupanga, unakuta umefua visuruali vyako yeye tayari ashaanika kufuli zake kamba nzima. Na hili suala tulikuwa hatulioni kwa mama zetu sijui ni mmomonyoko wa maadili, utandawazi au nini hasa.