Hisia zangu ....

Hisia zangu ....

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,617
Najisikia leo kukaa na demu ambaye sijawahi kumuona, nikae naye walau hadi mishale ya saa 2 hivi; tukapate lunch, vinywaji, tubadilishane mawazo ila tusiingie kwenye majaribu ya kuvunja amri ya sita. Nitampata wapi?
 
Najisikia leo kukaa na dem ambaye sijawahi kumuona, nikae naye walau hadi mishale ya saa 2 hivi; tukapate lunch, vinywaji, tubadilishane mawazo ila tusiingie kwenye majaribu ya kuvunja amri ya sita. Nitampata wapi????

Mwaza ni jiji kubwa sana kama unahitaji mwanamke wa aina hiyo mbona wengi sana?
 
Tatizo unapoanzisha maongezi madem wengi wanahisi unahitaji huduma fulani .... sasa wa hivyo sitaki ...
 
Najisikia leo kukaa na dem ambaye sijawahi kumuona, nikae naye walau hadi mishale ya saa 2 hivi; tukapate lunch, vinywaji, tubadilishane mawazo ila tusiingie kwenye majaribu ya kuvunja amri ya sita. Nitampata wapi????
Du!! kiswahili kweli kazi, unataka demu ambae hujawahi kumuona au demu ambaye hamjuani, demu ambae hujawahi kumuona au demu ambae hamjawahi onana? Ok, unajisikia au unahitaji?

nakupa ushauri, panga safari yoyote ya mbali, umbali ambao utachukua kama masaa 8 mpaka 10, mwambie mkata tiketi akupe siti moja na demu yeyote, hapo mtakaa nae siku nzima, mtakula na kunywa pamoja, mawazo yale ulosema huyataki hapo hayatakuwepo kwasababu ya mazingira. SAFARI NJEMA.
 
Yani penye wengi pana mengi... sijawahi kuwaza kuna wazo la aina hii...
 
Kweli; ila sasa sitaki kusafiri, nahitaji kukaa sehemu ambayo imetulia; tatizo wanaokuja maeneo hayo wengi wanakuwa na appointment... sijui umenisoma kiongozi.
 
necessity is the mother of invention.... wondering if it applies here...
 
Kweli; ila sasa sitaki kusafiri, nahitaji kukaa sehemu ambayo imetulia; tatizo wanaokuja maeneo hayo wengi wanakuwa na appointment... sijui umenisoma kiongozi.
nenda ukumbi wa sinema, ukiona demu yupo peke ake join her, with your drinks and popcorn then enjoy your time. Last option; nenda mtaa wa mauzo, inategemea uko mji gani ( ungekuwa Arusha ningekwamia nenda SHIVAS) chukua mlupo wowote kisha ongea nae bei ya siku nzima kisha take her popote unapotaka enjoy your time BUT. dont do her cause ushasema its not what you want.

BYE
 
Kama upo dar nambie nikuelekeze utakapo mpata,ni wengi chaguo ni lako.
 
Back
Top Bottom