Heshima pesa ndevu uchafu,.
elimu ufunguo wa maisha
pesa ufunguo wa malaya.,
mmh kali hii
Jameni waungwana nimekua nashindwa kutengenanisha hasa juu ya mapenzi ya sasa i would like suggestion.JE MAPENZI YA SASA HUA YANAANZA MAPENZI NDIO PESA IFUATE AU INAANZA PESA NDIO MAPENZI YAFUATE? i am confused
Mmh hahhahaab ennie sio huku unafungua zipuVinaenda pamoja. Unaimbisha huku unafungua wallet!!!
Pesa kwanza hata unapoenda kumtongozea si inabidi maongezi yasindikizwe na msosi na vinywaji?
lazma ulipie .......
Vinaenda pamoja. Unaimbisha huku unafungua wallet!!!
Vinaenda pamoja. Unaimbisha huku unafungua wallet!!!
Sie zamani ukihonga mbege/ulanzi inatosha.
Kwani ya kalé yalikua bure au
Umeonaeeee pesa muhimu kuanzia vocha., mafuta gari nk tena itabid now days tuwachaji pia na mda wetuPesa kwanza hata unapoenda kumtongozea si inabidi maongezi yasindikizwe na msosi na vinywaji?
lazma ulipie .......