Gauni la kiume

Gauni la kiume

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,684
Jamani nasikiaga tu suruali ya kike, shati la kike kaptura ya kike etc mbona sijawahi kusikia gauni la kiume, sidiria ya kiume, gaguro la kiume, blauzi ya kiume etc?
 
Mhhhh............

costume1.jpg
18299_wedding_jpg604989f9e8fad60ac3b1da8b85b62b23
men-in-white.jpg
 
Hawa jamaa miaka ya 60 kurudi nyuma, walikuwa wakikutokea huko ALABAMA, utachekea Msala*ni... Waone na magauni yao, hata SONI hayana. Wajukuu zao wengi wameolewa au kuowa Mipingo......

article-2434992-1851854800000578-948_634x436.jpg


136.jpg
 
Mkuu Mimi nimetuma saa 12 asubuhi, yeye katuma saa 9 za usiku...angalia muda
Ooh sorry sikuangalia muda uliopost kumbe yeye ndiye aliyekua na mkesha sasa nimeelewa. Hata hivyo habari za asubui mkuu
 
Back
Top Bottom