Sijui kabisa naomba mnifahamishe

Sijui kabisa naomba mnifahamishe

The Only Kilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2010
Posts
352
Reaction score
87
Wote wenye uzoefu nijuzeni wake kwa waume.

Baada ya siku za mwanamke kuonekana yaani hedhi au kwa kingreza "MP" inachukua muda gani toka siku ya kwanza kufikia siku ambazo akifanya mapenzi anashika mimba?

Toa mchango kiutalaamu zaidi

Ninavyojua Mimi iko hivi kwa elimu yangu ya kihelahela:
Hizi tarehe zinaanzia siku Mtu anaanza MP.

1, 2, 3, 4, 5,6, 7, 8, 9, 10, (11, 12, 13, 14, 15, 16, 17) 18,19, 20, 21,22,23,24.....hadi next MP

Notes:
1 had 5: Siku ya kwanza hadi anamaliza MP
6 hadi 9: Siku salama sana
10 na 18 kuna uwezekano wa kupata Mimba kwa maana Mbegu zinakaa angalau masaa 24. kwa hio mtu akipata mbegu tarehe 10 kunauwezekano wa kukutana na yai tarehe 11.
11, 12, 13, 15, 16, 17 Siku hizi ni nzuri kupata mtoto, na siku ya 14 ndio nafasi ni kubwa kuliko siku hizo sita enzake.
19,20,21,22,23 hadi anaanza tena MP: Ni siku salama sana.

Wataalamu watasaidia zaidi.
 
mkuu, kwa msaada zaidi ungeipleka jf doctor...
 
Cku ya 14, bt kumbuka 2naihesabu cku alyoanza kupata MP yake km ya kwanza bt n vzur ukafanya kuanzia day 13-16
 
Mp stand for what?

Ndugu Excel amekushauri uende jf doctor, kule kunathread nzuri sana zinazo husiana na jambo lako, tulishauri na wengine wakaja kushukuru wamepata mimba kutokana na ushauri wa jf doctor.
 
Baada ya siku za mwanamke kuonekana yaani hedhi au kwa king reza "P" inachukua muda gani toka siku ya kwanza kufikia siku ambazo akifanya mapenzi anashika mimba?

Hiki kidengereko cha wapi tena?
 
Ninavyojua Mimi iko hivi kwa elimu yangu ya kihelahela:
Hizi tarehe zinaanzia siku Mtu anaanza MP.

1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10, (11, 12, 13, 14, 15, 16, 17) 18, 19, 20, 21,22,23,24.....hadi next MP

Notes:
1 had 5: Siku ya kwanza hadi anamaliza MP
6 hadi 9: Siku salama sana
10 na 18 kuna uwezekano wa kupata Mimba kwa maana Mbegu zinakaa angalau masaa 24. kwa hio mtu akipata mbegu tarehe 10 kunauwezekano wa kukutana na yai tarehe 11.
11, 12, 13, 15, 16, 17 Siku hizi ni nzuri kupata mtoto, na siku ya 14 ndio nafasi ni kubwa kuliko siku hizo sita enzake.
19,20,21,22,23 hadi anaanza tena MP: Ni siku salama sana.

Wataalamu watasaidia zaidi.

wote wenye uzwefu nijuzeni wake kwa waume. Baada ya siku za mwanamke kuonekana yaani hedhi au kwa king reza "P" inachukua muda gani toka siku ya kwanza kufikia siku ambazo akifanya mapenzi anashika mimba? Toa mchango kiutalaamu zaidi
 
Ninavyojua Mimi iko hivi kwa elimu yangu ya kihelahela:
Hizi tarehe zinaanzia siku Mtu anaanza MP.

1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10, (11, 12, 13, 14, 15, 16, 17) 18, 19, 20, 21,22,23,24.....hadi next MP

Notes:
1 had 5: Siku ya kwanza hadi anamaliza MP
6 hadi 9: Siku salama sana
10 na 18 kuna uwezekano wa kupata Mimba kwa maana Mbegu zinakaa angalau masaa 24. kwa hio mtu akipata mbegu tarehe 10 kunauwezekano wa kukutana na yai tarehe 11.
11, 12, 13, 15, 16, 17 Siku hizi ni nzuri kupata mtoto, na siku ya 14 ndio nafasi ni kubwa kuliko siku hizo sita enzake.
19,20,21,22,23 hadi anaanza tena MP: Ni siku salama sana.

Wataalamu watasaidia zaidi.

what a useful post..... i never learnt this before

Thank you Tized
 
Last edited by a moderator:
Angalia huu mchoro mkuu.

attachment.php
 
Attachments

  • 28-Day-Menstrual-Cycle.jpg
    28-Day-Menstrual-Cycle.jpg
    17.5 KB · Views: 763
Ninavyojua Mimi iko hivi kwa elimu yangu ya kihelahela:
Hizi tarehe zinaanzia siku Mtu anaanza MP.

1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10, (11, 12, 13, 14, 15, 16, 17) 18, 19, 20, 21,22,23,24.....hadi next MP

Notes:
1 had 5: Siku ya kwanza hadi anamaliza MP
6 hadi 9: Siku salama sana
10 na 18 kuna uwezekano wa kupata Mimba kwa maana Mbegu zinakaa angalau masaa 24. kwa hio mtu akipata mbegu tarehe 10 kunauwezekano wa kukutana na yai tarehe 11.
11, 12, 13, 15, 16, 17 Siku hizi ni nzuri kupata mtoto, na siku ya 14 ndio nafasi ni kubwa kuliko siku hizo sita enzake.
19,20,21,22,23 hadi anaanza tena MP: Ni siku salama sana.

Wataalamu watasaidia zaidi.

Eeeeh waaaaaaaaah hapo hapo wala hujakosea! Chakuongezea kama ukitaka mtoto wa kiume mara nyingi anatokea kuanzia Siku ya 15 - 17
 
Ninavyojua Mimi iko hivi kwa elimu yangu ya kihelahela:
Hizi tarehe zinaanzia siku Mtu anaanza MP.

1, 2, 3, 4, 5,6, 7, 8, 9, 10, (11, 12, 13, 14, 15, 16, 17) 18,19, 20, 21,22,23,24.....hadi next MP

Notes:
1 had 5: Siku ya kwanza hadi anamaliza MP
6 hadi 9: Siku salama sana
10 na 18 kuna uwezekano wa kupata Mimba kwa maana Mbegu zinakaa angalau masaa 24. kwa hio mtu akipata mbegu tarehe 10 kunauwezekano wa kukutana na yai tarehe 11.
11, 12, 13, 15, 16, 17 Siku hizi ni nzuri kupata mtoto, na siku ya 14 ndio nafasi ni kubwa kuliko siku hizo sita enzake.
19,20,21,22,23 hadi anaanza tena MP: Ni siku salama sana.

Wataalamu watasaidia zaidi.

nitakutafuta kwa msaada zaidi
 
Back
Top Bottom