Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani hapa nilipo mwenzenu nimechanganyikiwa. Nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tulipendana sana, we met miaka ya nyuma kidogo pindi tumemaliza form six tulikuwa tunafanya tempo shule moja so...
0 Reactions
227 Replies
26K Views
Habari MMU! Nina swali moja tu! Tuchukulie umeoa/kuolewa. Je, ni sahihi kutumia kitanda unachotumia na mke/mume wako pamoja na wageni endapo mwenza wako hayupo? Kwa mfano tuseme wife/husband...
1 Reactions
95 Replies
13K Views
Hi L's & G's. Unadhani kuna ukweli wowote katika hili?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, nimejaribu kutembelea post nyingi za watu wenye shida za kupata wenza wakishauriwa watumie pesa kuwanasa mabinti wanao wanaowapenda , je ni namna gani penzi la kweli laweza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nina 29rs,sijawahi kungonoka,nasubiri siku ya honeymoon, sinapesa za mahari na harus,kisaikolojia naathirika nifanyaje?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii inabidi nitoe full credit kwa GPL ila mi nimeisoma nkaona sio mbaya nikishare. Ahadi ya Ndotoni AHADI YA NDOTONI Jeska alitembea kwa mwendo wa taratibu akiwa amepoteza muelekeo wa...
0 Reactions
26 Replies
46K Views
Habari za leo wana MMU? Poleni na majukumu! kwa mara ya kwanza na mimi najitokeza leo kutafuta mwenza hapa MMU, upweke umenichosha umri kuanzia 39 hadi 45, mengine tutaongea pm. karibuni.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Natafuta mke wa kuoa, vigezo ni kama ifuatavyo, 1. Awe muislam, mcha mungu, miaka 22-25 2.Awe mwalimu kuanzia primary 3.Awe mwembamba wastani, c mrefu, c mfupi, maji ya kunde...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari wote! Mimi ni msichana mrembo nasoma chuo kwa sasa. Natafuta jibaba lenye nazo ambae ataweza kunilea na mimi ntampa penzi zito!, Nipo serious sihitaji wa kucheza na hisia zangu kwani npo...
0 Reactions
81 Replies
12K Views
Natafuta mchumba wa kike awe na elimu kuanzia fomu 6,ameokoka,mfupi,mweupe,awe anapatikana dar,awe serious na tayari kupima HIV kiukweli nikimpata nitampenda na kumtunza please kama hauko serious...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
1. Know When You Are OvulatingSounds obvious, but when you are trying to conceive, you want to make absolutely sure. Ovulation kits are now widely available and drug and grocery stores everywhere...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari zenu wandugu, Kuna tabia imenikera ya mume wa rafiki yangu, amekua anamcheat mkewe kwa bahati nzuri mara kadhaa hua anafumwa kwa njia moja au nyingine like simu nk.Mume kila mara anakiri...
2 Reactions
97 Replies
8K Views
Vifo vya kushitukiza duniani vimeenea,Leo alikuwa mzima kesho tuaambiwa kafa.Ukimuona kwenye jeneza utadhani ataamka, Mtu na afya yake kaburini anakwenda,Jiulize ndugu yangu ukifa leo utakuwa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Salaaam wanaMMU wenzangu! Hakuna kitu wanaume tunapenda kama kumpata mwanamke mwenye uzuri wa umbo na tabia, naamini na hata kwa wanawake ipo hivyo pia. Awe na sura nzuri, mguu mzuri, macho...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Nilimwambia sikuwa na tatizo la kwenda kwao isipokuwa aniwezeshe kimaisha ili nami niwe na maisha mazuri, akaniambia jambo hilo liliwezekana nisiwe na wasiwasi. Maimuna aliniambia licha ya kuwa...
0 Reactions
21 Replies
62K Views
Nimewahi kukutana na tajiri mkubwa sana akilalamika kuwa mkewe hana furaha. Akasema amempa kila kitu kuliko anavyotegemea! Amemjengea nyumba ya kifahari, amemnunulia magari, yeye si mlevi, aliapa...
28 Reactions
110 Replies
11K Views
wapendwa, Mimi natafuta mke....kwa sababu nimechoka na maisha ya u-single. Sifa za mke ni mpendaye ....awe: 1. Daktari au Nesi......iwe tayari ameajiriwa na sio mwanafunzi, au awe 2...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Ninafanya kazi, nashukuru ni kazi nzuri kiasi, imeniwezesha kufanya mambo mengi ya maendeleo.. Siku za nyuma kidogo tulikuwa na kazi ya ofisi ambayo ilitulazimu kufanyia nje ya ofisi(special...
5 Reactions
261 Replies
26K Views
Wanawake wamekuwa hawajiamini katika mahusiano na ndoa zao na muda mwingi huhisi wanaibiwa wanaume, ukienda kwa waganga wa kienyeji wanawake wamejazana kutafuta madawa ya kuwatuliza wanaume hasa...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Uko wapi angalau nije nikusabahi? JITOKEZE
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom