Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Touching Story. A dog was so faithful that the woman could leave her baby with it & go out to attend other matters. She always returned to find the child soundly asleep with the dog faithfully...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Hizi touch screen zinavyosumbua watu mdada kanunua cmu mpya Screen touch Mdada: Bebi mambwo? Jamaa: Poa nambie Mdada: Vipw umelalwa? Jamaa: Unasemaje? Mdada: Nauliza umelwala? Jamaa: Mhhhh...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Nawasalimu wanajamii kila mtu kwa jina lake.Sote tukumbuke ndoa ni takatifu iliwekwa na Mungu,hivo tendo la ndoa kwa wanandoa ni takatifu pia.Nina zaidi ya miaka 9 ya ndoa,kwa muda wote huo...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Nimeulizwa swali ambalo nimeshindwa kulijibu kutokana na kutokuwa na uzoefu na mambo hayo. Jamaa amekutana kimwili na mkewe Tar. 1.7.2013 Baada ya kukaa nje ya nchi kwa miezi sita, baada ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Girls....You run this World right??? Run it with your Brain! Wanawake wamekuwa Mabingwa sana wa kulaumu Wanaume kwanini wanacheat sana..Na wanaamini kwamba Wanaume hawana Reason ya...
7 Reactions
31 Replies
5K Views
Ni ukweli kwamba watu hawaamini kwamba kuzini ni dhambi, au ni kiburi chetu tu? Hivi kama mambo ndio haya kweli hii dhambi itaisha lini?
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Katika mahusiano ya kimapenzi kuna mbinu mbalimbali zinatumiwa na wanaume na wanawake ili kudumisha penzi lao nimefanya utafiti mdogo na kugundua yafuatayo 1 Wanawake wenye sura nzuri Hawa wao...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Natokea sumbawanga niko dar ubungo naombeni job yeyote mwene uruma anisaidie kama ikiwezekana plz plz ma fans namba iyo hapo 0685816103
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Seriously jamani mwenzenu nampenda msichana kabla sijamgegeda lakini nikisha mgegeda basi na mapenzi juu yake hayapo tena! nimejitahidi kutafuta msichana atakaye ridhisha moyo wangu lakini wapi...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Nina umri wa miaka 28,mzaliwa wa Kilimanjaro ni mrembo tuu na mfufu kiasi rangi chocolate natafuta mwenza kabila lolote ila si mchaga,Mweupe wa rangi awe msafi na ajue kuvaa,awe ana kazi na...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa hali ilivyo sasa, JF naona ukumbi wa MMU na Love Connect ni sehemu ya kupata michepuko. Hii ni digital technology ya kufanya uzinzi. Kwa kuwa kuna dada zetu bado wanafanya hiyo biashara...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimechoka na maisha ya upweke natafuta mpenzi kisha tukielewana tuwe mke na mume. nina miaka 28 naishi Dar maeneo ya mbezi beach
3 Reactions
40 Replies
9K Views
This is very serious, I'm looking for a girl friend aged 20-23, HIV (-) who respect herself, good looking, a bit tall, living in Dar. I,m 25 yrs, 6ft tall, deep voice, HIV (-) ,a bit white. so...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wanaMMU! Naomba kujifunza kupitia kwenu wanandoa au mwenye kujua kwakupitia tafiti mbalimbali juu ya hili ; Kitaalamu kwawanandoa kuna wastani wakushiriki tendo la ndoa? Kama...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
. So you finally got the number of that lady you’ve been chasing for a while and now another challenge looms. How do you text her in a way that she’ll see you as really cool? Whether it’s...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
A guy and his girlfriend went to commit suicide on top of a 10 storey building so that God can officiate their wedding in heaven. The plan was to jump off the building at the same time at the...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Usije kujaribu kupekua simu ya girl friend wako kama una moyo mwepesi.haikuwa dhamira yangu bali nikajikuta tu nimechukuwa simu ya girl friend wangu na kufungua uwanja wa meseji,looh ni full...
5 Reactions
95 Replies
13K Views
Tafadhari Shufu Kichwa cha Habari Hapo Juu,,,,,,:laser::laser::llama:
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani, habari zenu, habari ya week end! Hope mko poa, mie bariidaaa mtoto wa kike.... This week end (jana) nimekutana na haya, nilikuwa nimeboreka na issue zangu sasa nikaamua nitome...
2 Reactions
130 Replies
9K Views
Asalaam wana jf. Jamani mimi nipo njia panda,nashindwa kujua njia iliyosahihi,kulia ama kushoto?ebu naombeni ushauri wenu,nipite njia gani,ama nisubiri hapahapa nilipo mpaka Maulana atakapopenda...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Back
Top Bottom