Natokea sumbawanga niko dar ubungo naombeni job yeyote mwene uruma anisaidie kama ikiwezekana plz plz ma fans namba iyo hapo 0685816103
Mie hapa usijali ni kazi gani naweza uku nilikuja kwa jamaa xaxa amenizingua xo help plz
xaxa NDO NINI? HALAFU UMEIJUAJE JF? UZA HYO SIMU UPANDE TRENI HADI TABORA PALE UPANDE TRENI HADI MPANDA THEN DAKA SUMRY HAD S/WANGAMie hapa usijali ni kazi gani naweza uku nilikuja kwa jamaa xaxa amenizingua xo help plz
Mie hapa usijali ni kazi gani naweza uku nilikuja kwa jamaa xaxa amenizingua xo help plz
Please rudi nyumbani ujipange upya kurudi bila kumtegemea mtu.
Jiji gumu sana hili basi tu tunakomaa nalo!
we kijana wa kutoka Sumbawanga, jitahidi uwe unaandika maneno kwa usahihi!!acha utoto wa kwenye facebook wa kuandika "xaxa" au "xo"!!Mie hapa usijali ni kazi gani naweza uku nilikuja kwa jamaa xaxa amenizingua xo help plz
hmmmm!!!
sumbawanga??
kule ng'ombe alikolewa na mwewe hewani?
aisee sina hamu....
Jamani sie wote ni watz vp tunatengana?
Natokea sumbawanga niko dar ubungo naombeni job yeyote mwene uruma anisaidie kama ikiwezekana plz plz ma fans namba iyo hapo 0685816103