Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wapendwa wana MMU ninayo furaha na Faraja kubwa kuwafahamisha kuwa Mke wangu kajifungua salama Saa 12 asubuhi hii, nilitamani sana mtoto wa Kike lakini kaja wa kiume, Yote kwa yote nimefurahi na...
7 Reactions
66 Replies
5K Views
  • Closed
Wakuu nimekufa nimeoza kwa sada salum mkuya.Hivi kaolewa??nikimuona tu moyo wangu chaaaaaaali Ebu mnijuze
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Kila nikifanya kosa reference ya mazuri ni kwa e-x boy wake, oh baby mimi boy wangu alikua anaweza kuwithdraw nikiwa siku za htari, oh baby mimi boy wangu alikua anazama chumvini, oh baby mimi boy...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kuna dem mkali nimekutana nae hapa sa nimemuita shem, sa anashangaa shem wapi wakati hanijui nikamwambia mwenzio sina hela sa watoto wazuri ka wewe naishia kuwaita shem.
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Gay marriages
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Mwenzenu nina tatizo siwezi kukaa na mwanamke yoyote katika mapenzi nikimchoka namwacha kama utani.Tatizo hili limekuwa lininitokea mara kwa mara kila msichana nimpendae nikimchoka namwacha...
2 Reactions
28 Replies
7K Views
Wanajamvi naomba msaada,nimetokea kupenda sana wasichana wa kigeni.nilifanikiwa kuwa na rafiki wa kike wa kizungu kutoka Denmark nilii enjoy sana,akarudi kwao,nikapata rafiki mwingine wa...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Imekua tabia ya wadada weng sasa hv kuishia kulala na wanaume lukuki kwa sababu ya kupenda kuwa tegamezi na kuishia kutoolewa kwa sababu ya katabia hako.ushauri; hakikisha unafanya kila uwezalo...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Nahitaji mwanamke wa umri huo yaani 35 and above... Nitumie sms kwa 0689315582
0 Reactions
9 Replies
3K Views
jaman hii post nimeshindwa kuidelete ila nmeamua kuondoa content!
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Sababu anajua nini unachotaka kufahamu. Kama ni mzuri na mwenye kuvutia lazima atajibu ndio, na kama hana boyfriend jibu lake litakuwa hilo hilo ndio anaye. Wasichana wengi wanataka kuonekana wapo...
1 Reactions
102 Replies
10K Views
siku njema, binafsi shughuli zangu zinahusisha safari za mara kwa mara, na mpaka muda huu naingia jamvini nimefanikiwa kuimaliza mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani. tangu awali kuna kitu...
1 Reactions
56 Replies
7K Views
Kuna jamaa alimkuta mpnz ake anatumiwa pesa na mtu flan yule dada akawa amemdanganya jamaa eti ni dada ake na baada ya kufatilia akakuta ni mpnz wake. Ila jamaa akafanikiwa kustop mahusiano ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimesikia watu wengi wakiongelea Cream za kufanya maziwa ya wanawake kusimama. Kuna cream ambazo ni chache sana ambazo hazima madhara. Nilikuwa najiuliza, kwa kipindi fulani nilikwisha wahi...
0 Reactions
59 Replies
8K Views
1 - USILALE UKIWA UMEVAA SAA. Saa ya mkononi ina madhara iwapo utaivaa kwa muda mrefu, wanasayansi wanashauri sio sahihi kulala ukiwa umevaa Saa(ya mkononi) 2 - USILALE UMEVAA SIDILIA(wanawake...
1 Reactions
9 Replies
7K Views
hawatoi site hatakama kuna dharura gani ukiminya kidogo inakuwa kero,wanamapozi ya kujifanya wana class c+ zote duniani,mjiheshimu tutaanza kuwakwangua natoa taadhari,kama mna...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Nina umri wa kati ya miaka 25 hadi 30, nahc muda wangu wa kuoa umefika. Naomba mnipe ushauri. Nianze na kipi, kifuate kipi, changamoto gani nitakutana nazo, n.k Mimi ni mkristo, RC. Ushauri...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Jamani mazoea yanatabu, ni kawaida yangu kusafiri kikazi lakini safari huwa sio za kukaa muda mrefu kiasi hiki. Leo ninasiku ya nane nipo hapa Moro usingizi umegoma kabisa ninahisi kama nimekosa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom