Ushauri wenu ni wa muhimu sana!

Ushauri wenu ni wa muhimu sana!

Price12

Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
46
Reaction score
9
Nawasalimu wanajamii kila mtu kwa jina lake.Sote tukumbuke ndoa ni takatifu iliwekwa na Mungu,hivo tendo la ndoa kwa wanandoa ni takatifu pia.Nina zaidi ya miaka 9 ya ndoa,kwa muda wote huo kumekuwa na tatizo kwa mume wangu kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa kadri siku zinavoenda hali inazidi kuwa mbaya,bila kumstua na kumlazimisha hata miezi 6 itapita,na nikimlazimisha ndani ya hiyo miezi naweza bahatisha mara 3 tu,kiumri niko early 30's naye early 40's.
for all those years nimekuwa muaminifu sijui hata michepuko,pia sijawahi enjoy tendo la ndoa kabisa,ikitokea tuki"do ni kamoja ka dakika 5 tu,nashangaa siku hizi nakuwa na hamu sana ya mgegedo kupita maelezo na sipati huduma hiyo, je inaweza patikana tiba kwa mr?ili nami nifurahie uumbaji wa Mungu!
Huwa hapati hamu ya kugegeda kabisa,ila tunapendana sana huwezi jua kama kuna tatizo!Pia tuna watoto.Familia ina amani. Kadri siku zinavoenda natamani muujiza utokee awe poa nami nifurahie jamani!Nimemsihi mara nyingi kwenda hospital hayuko interested kabisa,wanajamii wenzangu naomba ushauri wenu ktk hili, naamini mtanisaidia.
Asanteni kwa ushirikiano.
 
Anasimamisha uume vizuri au ndio hadi upange betri za kutosha kuweza kuchaji ndululu yake?

Ana historia ya magonjwa kama kisukari, shinikizo la damu...?

Ni mtumiaji vilevi au sigara?

Je anafanya kazi gani?

Je ujuzi wako wa ngono ukoje?

Vipi kuhusu umbile lako wakati mnajuana na sasa kuna utofauti wowote?
 
Ongera kwa kutokuwa na mchepuko mpaka leo. Ushauri wangu, tafuta sex toy ujizoeshe kujihudumia. Vyema umwambie Mr wako akununulie kwa maslai mapana ya ndoa yenu. Mshauri Mr kwa ufanisi na heshma kubwa ajaribu kutatuwa maswahibu yake.
 
Watu8 acha hizo!anasimamisha bila shaka,ila hawi na hamu
 
Asante kwamtoro,siwezi kufikia stage hiyo myne!nishamshawishi that's why najaribu kupata ushauri kwenu,make penye wengi hapaharibiki neno
 
Ameongezeka uzito kwa kiasi kikubwa hivi karibuni? Anatumia pombe Sana?
 
Hana historia ya hayo magonjwa,ila anatumia pombe.just joking watu 8 huo msemo wa acha hizo huukumbuki,sorry.kweli nahitaji msaada.asnte
 
Loh, kweli kuta nne za chumba zinaficha vitu vingi.

In short kuna mawili, mme wako ana matatizo ya nguvu za kiume au kuna sehemu anapata hiyo Huduma. Lakini kukaa miezi sita hiyo ni too much.
 
Hana historia ya hayo magonjwa,ila anatumia pombe.just joking watu 8 huo msemo wa acha hizo huukumbuki,sorry.kweli nahitaji msaada.asnte

Okay...

Jambo la kwanza hakikisha kuwa anapunguza unywaji pombe...

Studies mbalimbali zilizowahi kufanywa kwa wanaume na utumiaji wa pombe zinaonesha kuwa, moja ya madhara ya pombe ni kupunguzwa kwa uzalishwaji wa kichocheo cha testosterone...

Kazi mojawapo ya kichocheo hiki ni kuongeza hamu ya kungonoka kwa mwanaume, sasa kunapokuwa na uzalishwaji duni lazima libido nalo lipungue...

Pili endelea kujibu maswali yangu yote niliyouliza...
 
Watu8 acha hizo!anasimamisha bila shaka,ila hawi na hamu

binti acha majibu hayo! sawa eenh?

humu ndani tuna maaskari mpaka majaji!!

ukizingua tu unawekwa ndani na matatizo yako..!

kuwa mpole ushauriwe...
 
Ni ofisa serikalini,ujuzi niko vizuri japo unategemea support ya patner,kabla ya ndoa hatukuwahi gegedana,mwili haujabalika kivile,
 
Ni kweli mtamamchungu,kuta zina siri kubwa! Mshukuru Mungu kama hamna changamoto kama hizi
 
mpitishe kwa wale majamaa wanaitwa wamasai huenda wakampa tiba!
 
Ni ofisa serikalini

Sikuwa nataka kujua habari za cheo chake, anyway hata kwa jibu hili si mbaya maana nimehisi ni mtu wa kubweteka mwili mahali pamoja...

Jaribu kumshauri awe anafanya mazoezi yoyote ya viungo kama ukiweza iwe kuruka kamba au kukimbia...

ujuzi niko vizuri japo unategemea support ya patner
Mwanamke mtundu na mchokozi huwa hana haja ya support ya partner wake.

Wanaume hutamani haraka sana lakini tamaa haiji hivi hivi pasipo kuchochewa ndio maana wapo vigoli wanaotutoa udenda kwa manjonjo yao tu na wapo ambao tukiwaona tu hogo lalala doro

Jenga saikolojia ya mpenzi wako kwa kufanya mambo yatayomtamanisha kingono...yaani jifunzekum-turn on.

Sio hadi chumbani mwanamke unajitanda vitenge vya Wax kama umealikwa kipindi cha Wanawake Live...

mwili haujabalika kivile,

Ningefurahi sana kama majibu yako yangelikuwa yapo clear zaidi mathalani mwanzoni nilikuwa na kilo 45 na sasa 60.
 
Kuhusu kupunguza nishamwambia lakini hachange

Endelea kutegemea ufanisi duni...

Btw nitaendelea nawe baadaye au kesho...nataka nicheze kombolela na mai waifu wangu maana pamoja na uzee wangu bado ufundi nauweza...

See you then
 
Back
Top Bottom