Wanatamani mungu Angeruhusu kuzini ili isiwe dhambi

Wanatamani mungu Angeruhusu kuzini ili isiwe dhambi

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
1,458
Reaction score
617
Ni ukweli kwamba watu hawaamini kwamba kuzini ni dhambi, au ni kiburi chetu tu?
IMG-20140311-WA0007.jpg
Hivi kama mambo ndio haya kweli hii dhambi itaisha lini?
 
Mungu hana uwezo wa kuzuia chochote kile.

Hiyo myth ishakuwa debunked na inaendelea kuwa debunked kila siku.
 
Mwili hutamani ukishindana na roho! Roho i radhi lakini mwili ni dhaifu.
 
attachment.php


haaaaaa!!!!! ndo nini kuibiana siri zetu huku PM jamani? aisee sio vizuri kabisa!!!

naandamana!!!
 
Itaisha kila kitu kina mwanzo na mwisho.

Labda kama haina chanzo chake ndio itadumu.
 
I am my own reliable source of my own information but not some ghostly neanderthal on the internet who doesn't know diddly-squat about me.

ok slow down my friend..

i am a kurya by profession...

if you do me, i do you thrice!
 
Mungu hana uwezo wa kuzuia chochote kile.

Hiyo myth ishakuwa debunked na inaendelea kuwa debunked kila siku.

Aisee!
Mshipa unaoleta msisimko umekukatika kabisa!
Ok! Say whatever you say but Mungu yupo!
 
Back
Top Bottom