Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanawake wasio Machangudoa, wanachukuwa pesa kutoka kwa wanaume Wanawake machangudoa, wanachukuwa pesa kutoka kwa wanaume Wanawake wasio Machangudoa, wanawagharimu wanaume pesa nyingi. Wanawake...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Ushauri unahitajika baadaya binti yangu aliyekuwa anasoma sekondari kupata ujauzito na kurudishwa nyumbani. Mimba ina miezi minne, Huwa ni mkimya sana, Alafu akiulizwa anasema...
1 Reactions
56 Replies
6K Views
Kahaba mmoja maarufu maeneo ya sinza ameolewa na kwa ndoa halali ni baada ya kuacha kuvaa vinguo vya kikahaba mchana na kuamua kuvaa nguo zenye heshima wakati wa mchana. Mume wake huyo alimuona...
2 Reactions
51 Replies
8K Views
Mtukanitambulisha kwa dem ambaye tayari nilishapita naye, nimwambie au nimute.
0 Reactions
28 Replies
3K Views
hii ni serious jamani kama huna time pita wima, Kauri hiyo kwenye kichwa hapo juu ilitolewa na mzee mmoja wa makamu ambaye alikuwa hana mtoto na wamekaa na mkewe kwa miaka mingi bila mafanikio ...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Hivi dada zetu pale umwonapo mwanaume amekuvutia huwa mnafanya nini kuashiria umevutiwa nae mfano kwenye usafiri wa uuma na nk. Mimi nikimwona mtoto kanivutia huwa na smile na kumwangalia sana.
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Nilikua naupenda sana mchezo wa baba na mama yani mnakutana watoto kadhaa mnajenga kanyumba then mnaigiza maisha ya familia kunakua na baba,mama na watoto.binafsi nilikua napenda sana kuwa baba...
1 Reactions
89 Replies
18K Views
Siku hizi ukianzisha uchumba na mdada mzura wa sura usipokuwa makini unaweza ukajikuta unafirisika.Mara nipeleke outing,naomba hela ya kusuka,mara naomba unitumie vocha,mara baby naomba nauli...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Is it the lady or gentleman.
0 Reactions
7 Replies
919 Views
Hii nimeiona sana kwenye baadhi ya familia, wanaume hata kutoka na mtoto kwenda dukani tu hawezi?
0 Reactions
82 Replies
6K Views
Haya sasa nimeamua, ila usilete mashauzi, wala presha sina yaani natafuta mlimbwende anayejielewa na wala si malaika maana najua fika hakuna aliyemkamilifu ila natafuta mwenye hadhi ya kumvumilia...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mwanamke asiye jari ni mtu anaechukulia kila kitu kawaida hata kama we unamaanisha yeye anachukulia kawaida sijui nimuweke kundi gani mpaka najilaumu kumpenda maana nahisi mapenzi nimeyabeba mimi...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
We have all heard about the studies suggesting couples who have been in love for long live longer, but can love alone really have that much of an impact on your health? According recent research...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukimwangalia kwa haraka utafikiri ni mtu mzima lakini ni mtoto mdogo tu ,ndoto zake za maisha mema ya mafanikio na furaha yamekatishwa na mwanaume aliyejazwa tamaa ya ngono mharibifu na bazazi aso...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
jaman nataman sana kuolewa.napenda niwe na mume wangu na familia yangu.wanaume ninaowapata c waoaji na umri unazid kwenda.nina miaka 27 nipo mwaka wa 2 accounts.cjui nifanyeje nipate mume ambaye...
2 Reactions
61 Replies
14K Views
Habari zenu Ninarafiki yangu wa kike anamchumba wake ilikua wafunge ndoa mwezi wa nne wazazi wa bwana harusi wamesema wamekosa hela hivyo itabidi isogezwe mbele mpaka mwezi wa saba . Tatizo...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Jamaa kachukua changudoa kaingia nae gest. Katikati ya shughuli changu kapiga ukelele na kuzimia. Wakati jamaa kapanik hajui afanyeje simu ya changu ikalia, jamaa akapokea.. SAUTI: Haloo...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamaa kachukua changudoa kaingia nae gest. Katikati ya shughuli changu kapiga ukelele na kuzimia. Wakati jamaa kapanik hajui afanyeje simu ya changu ikalia, jamaa akapokea.. SAUTI: Haloo...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Narudi kwenu tena waungwana.Bado cjampata ninayemtafuta.Naombeni msada wenu wa hali na mali.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom