Kwa hali ilivyo sasa, JF naona ukumbi wa MMU na Love Connect ni sehemu ya kupata michepuko. Hii ni digital technology ya kufanya uzinzi. Kwa kuwa kuna dada zetu bado wanafanya hiyo biashara kianalogia, nashauri changudoa wa Oysterbay, Kinondoni, Arusha, Mwanza, Mbeya, Ohio -Dar waje humu maana kuna soko njenje.