Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani hivyo ndivyo ninavyoweza kusema. Huyu rafiki ananiacha hoi kwa mapicha yake, huwa nacheka sana na kupata burudaanii... Awe photolab au popote, ni mwendo wa mapicha kwenda mbele. Napenda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa Wanaume tu wenye vibamia: Huu ni ushauri wangu kwa wanaume wote wenye tatizo la vibamia wanaoomba ushauri wa tatizo lao hapa jamvini. Nguo mnazovaa ndani zenye kubana ndiyo chanzo kikuu cha...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
1. Grease - You’re the one that I want In this movie, as jam packed with musical hits as it is with tight leather and teenage hormones, the choice of song was a difficult one. Although there...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Muda mwingi nilikua nikipita na kuchangia mada hapa MMU. Lakini sikuwahi kupost chochote. Hili la leo limeniuma sanaa.! Nina mpenzi wangu ambaye yuko chuo fulani hapa Dar lakini kutokana na...
9 Reactions
270 Replies
23K Views
Hizi alama za love bite, boyfriend wangu anapenda sana kuniweka hata mimi pia nazipenda ila kuna wakati zinanikosesha raha hasa nikiwa kwenye mjumuiko wa watu tofauti tofauti, sijui ndo...
0 Reactions
36 Replies
8K Views
Yesterday evening, I saw a grown up man with beards run away from a young lady carrying a baby. Apparently the lady had brought the baby to it’s father and instead of the father hugging the little...
0 Reactions
1 Replies
853 Views
Mpenzi wa kizungu akikupigia simu usipopokea atakutext. "Honey whats wrong? Are you alright? I hope you are safe! Call me back ..I love you baby! Mpenzi wa kiafrika akikupigia usipopokea simu...
7 Reactions
61 Replies
11K Views
Hii ni kweli wana jf, Kati ya ma girlfriend wangu wote 10 niliowahi kuwa nao, wote walikua wakiniomba niwaoe. Lakini binafsi nimekua nikiwadanganya kuwa nitawaoa na najua fika kuwa sio kweli...
3 Reactions
55 Replies
6K Views
Wapendwa nahisi kilichobaki nikuiigiza movie za mapenzi nakucheza pati ya kuumizwa maana kila mdada ninaempenda ama kutokea kumpenda kwa dhati ni lazima aniumize, sasa nimekuwa rejendali wa...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Ipi ipo poa mazee
0 Reactions
140 Replies
25K Views
Je ulishawahi kuambiwa hili Neno au huwa Unamwambia umpendae baada ya Kushuka mlima kilimanjaro "ASANTE" Binafsi huwa naambiwa ila sijawahi Kujibu huwa nakaa kimya tu. Sijui kwa nini *WIKEND...
0 Reactions
61 Replies
7K Views
Nahitaji shuga mummy wa kunilea tafadhal piga au tuma sms itajibiwa 0767340091
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani hisia za kufanya sex zinapanda hadi najihofia na sipo tayari kufanya sex kwa sasa nifanyeje ili nipoe..!
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Baba mtoto alinitenda sn wkt mtoto ana miezi 4 alipofika miezi 9 nikaamua kuachana naye nikajianzia maisha yangu,leo mtoto ana miaka 2 na nusu anaomba msamaha turudiane. Ushauri plziiii!
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna personality aina mbili ambazo binadamu tubaweza kuwa nazo. Unaweza kuwa introvert au extrovert (nimekosa neno la kiswahili). Introvert ni watu ambao mambo yao mengi wanapenda kuyafanya...
4 Reactions
33 Replies
18K Views
Kuna baadhi ya wanaume hawajui jinsi ya kuzungumza na mwanamke au msichana. Kwa njia hii wanaume wengi wanaishi maisha ya bila kumvutia mwanamke yeyote. Hapa kuna njia 15 utakazozitumia wewe...
1 Reactions
50 Replies
32K Views
Wadau wenzangu nimeamua kiliweka hill hadharani ilimnipe ushauri.mama yangu mzazi amepata stroke upande wa kushoto ni MTU wakuhitaji kulishwa kugeuzwa isipokuwa Mke niliye nae hataki kumpa...
0 Reactions
84 Replies
8K Views
Kuna mwanamke mdogo kwangu ni mpenzi wangu nimemzidi miaka 5 and she is vargin I have been insist to make love with her bt anasema anaogopa hatoweza! Mi nko tayar kumsubiria mpaka ndoa, wadau...
0 Reactions
35 Replies
19K Views
Mama mkwe amemshawishi mtoto wake aachane na mm na kumuambia km ataendelea kuishi na mimi atamuachia radhi mtoto wake nilipompigia cm mama mkwe akasema ndio nimemwambia nikamuuliza sababu gan...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanawake kutwa kucha kulalamikia wanaume sio waaminifu!! Charity begins at home, ni wanawake wangapi wenye mahusiano na wanaume wenye mahusiano na wanawake wenzao huku wao wakijua tena in worst...
4 Reactions
121 Replies
11K Views
Back
Top Bottom