Natafuta Mume

Nyamgluu

Nyamgluu

JF-Expert Member
3,141
1,250
aisee mko fasta.
simplelady inbox lazima ijae!
 
Kuntah Kinte

Kuntah Kinte

Senior Member
134
195
wewe ni mwanamke au mwanaume,maana hadi wanaume wanaolewa siku hizi.
 
nanjilinji

nanjilinji

JF-Expert Member
1,154
1,195
Nimechoka na maisha ya upweke natafuta mpenzi kisha tukielewana tuwe mke na mume.

nina miaka 28 naishi Dar maeneo ya mbezi beach
Utayaweza kwa vile asubuhi tumeambiwa kuwa watu wanahonga ili majibu yawe safi, itabidi uthibitishe kama ni mmoja wetu (Mabikra) ndo utupate maserengeti boys
 

Forum statistics


Threads
1,424,934

Messages
35,076,363

Members
538,167
Top Bottom