Mcharuko
JF-Expert Member
- Sep 25, 2011
- 209
- 175
Nimeulizwa swali ambalo nimeshindwa kulijibu kutokana na kutokuwa na
uzoefu na mambo hayo.
Jamaa amekutana kimwili na mkewe Tar. 1.7.2013 Baada ya kukaa nje ya nchi kwa
miezi sita, baada ya kuondoka akapewa taarifa kuwa mkewe ni mjamzito yaani kuanzia tar 1.7.2013
sasa kinachomshangaza Tarehe 11.3.2014 yaani kabla ya kutimia miezi 9
mkewe kajifungua salama mtoto wa kiume ambaye anaonekana kutokuwa
njiti...... Je kuna uwezekano wa kuzaliwa kwa mtoto ambaye hana mapungufu kabla ya
miezi kutimia?