Kumbe reserve hata kwenye mapenzi kumbe imo

neno1

Senior Member
Joined
Oct 9, 2013
Posts
196
Reaction score
141
Nikakutana na huyu binti bana, moyo ukamdondokea kijana nikajitahidi nikatoa la moyoni. Kwa wakati huo alikuwa anasoma akanambia hawezi kuingia kwenye mahusiano akiwa bado mwanafunzi. Mtu mzima nikahisi kibuti cha mbali mbali ila kama kawa mabinti wa kiafrika nawajua nikasema nitajaribu tena. Nikajaribu kama mara mbili tena akatosa, nikaanza zangu mbele kwa kujifariji kuwa huwa yanawakuta wanaume.

Hee siku zimeenda kaanza kuniandama, nikajifanya zoba nikawa karibu nae, kipindi baada ya kugundua sasa ni kama kusukuma mlevi nikamuuliza mbona ulikuwa unanitenda vile kipindi kile, akadai alikuwa na mtu. Nikasema mbona usinambie ukweli badala yake ukasingizia unasoma, jibu hamna. Aiiiiii kimoyo moyo nikasema ulikuwa unaniweka mchezaji wa akiba kwanza atumie na huyo halafu ndo badae aje kwangu, na hamu ikakata zaidi
 
kwa hiyo amejua anakupenda baada ya kuachika? au anataka kupumzika kwako kidogo akiwa anavuta nguvu ya kusonga mbele?
 
Alikuwa na ''mtu'' so wewe ulikua tumbili au kimburu wakati huo? Mbona somo ni rahisi halihitaji hata twisheni?
 
Si ndo nilikuja kusitukia baada ya kusema ukweli wake
 
kwa hiyo amejua anakupenda baada ya kuachika? au anataka kupumzika kwako kidogo akiwa anavuta nguvu ya kusonga mbele?

hayo yote ni maswali nilojiuliza na kila jibu kwangu lilikuwa la kunitoa hamu zaidi
 
Ndivyo ilivyo siku zote kitu ukikitaka wakati wa shida hukipati, lakini pale unapokuwa huna shida upatikana unakuwa ni mwingi mno/sana
 
Nikakutana na huyu binti bana, moyo ukamdondokea kijana nikajitahidi nikatoa la moyoni. Kwa wakati huo alikuwa anasoma akanambia hawezi kuingia kwenye mahusiano akiwa bado mwanafunzi. Mtu mzima nikahisi kibuti cha mbali mbali ila kama kawa mabinti wa kiafrika nawajua nikasema nitajaribu tena. Nikajaribu kama mara mbili tena akatosa, nikaanza zangu mbele kwa kujifariji kuwa huwa yanawakuta wanaume.

Hee siku zimeenda kaanza kuniandama, nikajifanya zoba nikawa karibu nae, kipindi baada ya kugundua sasa ni kama kusukuma mlevi nikamuuliza mbona ulikuwa unanitenda vile kipindi kile, akadai alikuwa na mtu. Nikasema mbona usinambie ukweli badala yake ukasingizia unasoma, jibu hamna. Aiiiiii kimoyo moyo nikasema ulikuwa unaniweka mchezaji wa akiba kwanza atumie na huyo halafu ndo badae aje kwangu, na hamu ikakata zaidi

Zamu yako sasa iv kuna mtu yuko anapiga jalamba tayari kwa kuchukua namba.
 
hatq katika maisha ya kawaida kuna alternatives au plan b na kwengineko hata plan C na D
 
chezeya mapenzi weye...alternative sources muhimuu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom