Kwanini wake za watu hawapendi kutumia Condom? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini wake za watu hawapendi kutumia Condom?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtego wa Noti, Aug 17, 2012.

 1. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Hii sasa ni hatari, hivi nini kinachoendelea katika hii jamii?

  Hivi ni kwanini wanawake walio kwenye ndoa wanapoamua kutoka nje ya ndoa hawapendi kutumia kinga wakati wa kufanya zinaa?

  Ni kwanini hawahurumii uhai wao?
   
 2. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mtego wa Noti we umejuaje hawatumii kinga?
  Nahisi wewe ndiye mwenye jibu sahihi.
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  is it??

  Wanafanya zinaa bila kondomu na wanawake wenzao???

  Hii risechi ya wapi?
   
 4. majuto mperungu

  majuto mperungu JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  wewe umejuwaje kuwa wanawake walio wengi wakitoka nje ya ndoa hawapendi kutumia hiyo mipira au ndo wewe unawahusisha na wake za watu wasio na hatia
  kuwa muwazi
  nawasilisha
  by MAJUTO
   
 5. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  za kwao, changanya na za mbayuwayu!!!
   
 6. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Hapa jamaa atasema kuwa maambukizi ua vvu ni makibwa kwa wenye ndoa kuliko wasio kwen ndoa. Sijui kama ni kweli!
   
 7. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,333
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  We Umewaona wapi?
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Usitumie fedha kama fimbo kaka,mambo ya mapenzi ni makubaliano hapo ndipo mapenzi yana thamani.....
   
 9. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  hiyo ni research ya muda mrefu ndgu zangu...tena ukifanya neye ukatumia zana hatapenda mrudie tena illa ukienda kavukavu atakung'ang'ania huyo paka mwenyewe uchanganyikiwe...
   
 10. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  hiyo singo ya nani vile...nikumbushe pls!
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Cosmas Chidumule.

  Jina lako linaendana na wimbo huo!
   
 12. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #12
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  kwan wake za watu si wapo kila eneo? kuna sehemu ambako hawapo?
   
 13. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #13
  Aug 17, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,704
  Likes Received: 12,755
  Trophy Points: 280
  Huu Mtego umenasa mwenyewe!
   
 14. K

  KWA MSISI Member

  #14
  Aug 17, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe ni muongo,FULL STOP.
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Aug 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kumsaidia Billie alikua ana maanisha umejuaje kama hawatumii condom?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #16
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  aaaah..asante kwa kunikumbusha King Kong 111, jina langu haliendani na unachokidhania...wake za watu hawahitaji kutegwa kwa hela...
   
 17. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #17
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mkuu Mtego wa Noti,umetega wake za watu umewanasa sasa unatoa ushuhuda?(utani).Hapo mkuu wala usiumize kichwa,mimi kwa upande wangu naona ni mazoea ya walionayo ukizingatia yeye na mme wake hawatumii kondomu, kwa hiyo anaendeleza mazoea.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #18
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  aaah, ok. hiyo mbona simpo sana kujua...
   
 19. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #19
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  asante kwa kuunganisha dots...naamini ninachosema siyo uongo!
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  huwezi sema mdaa hii bila kuwa na takwimu japo kidogo.

  Nilifanya risechi ya maambukizi ya ukimwi katika maeneo ya wavuvi, kulikuwa na malalamiko mengi kuwa wanamme hawataki kutumia ndomu.

  Wakati mwingine huzitoboa au kuzikata kwa mbele na hutishia kutotoa pesa iwapo ndomu itatumika.

  Wanawake waliohusika wengi walikuwa almost wanaojiuza hata kama wameolewa.
   
Loading...