Superstars.

Superstars.

tian

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2007
Posts
1,770
Reaction score
538
Hivi mtu yeyote maarufu hasa mwanamuziki anaweza kumudu kubaki njia kuu,
Kuna njemba moja mtaani inanisumbua kweli eti inamapenzi na mimi,Nimeingiwa na wasiswasi hawa na wale wale wa "Hit en Run"

Madai yake ni kwamba hana mpenzi,ila najua fika nia yake ni Kula.mzigo na kusepa,

Sasa.nataka kujuzwa hawa jamaa wana njia kuu kweli??
 
tuambie kwanza wewe uko njia gani?

isije ikawa wewe ndie unataka kuchepuka...

au wote wawili mnataka kuchepuka..!

jifunze kutoka kwa kim kardashian na kanye west..
 
labda wapo baadhi...
64363_556295377737234_1298700900_n.jpg
 
wa kiume wanategwa sana coz wanawake wengi wanaona ufahari kutoka nao...wa kike angalau kidogo
 
....Hana mpenzi? Fanya upelelezi, mwanamke akitaka kitu hashindwi, tatizo leno mnaamini na ku initiate game within a day.

..Kuwa kicheche au kutokuwa ni tabia, japo wamati mwingine hao masuperstars wanakumbwa na vishawishi vingi kutokana na mazingira ya kazi zao.

..Nikutakie kila la heri, umeona kale kamdoli hakafikii nature eeeh!!
 
mfanyie uchunguzi kama kasema hana mpenzi yaweza kuwa bahati yako hiyo muhimu mechi usimpe mpaka mtakapofahamiana vya kutosha
 
Tabia na umaarufu ni vitu viwli tofauti
 
Hivi mtu yeyote maarufu hasa mwanamuziki anaweza kumudu kubaki njia kuu,
Kuna njemba moja mtaani inanisumbua kweli eti inamapenzi na mimi,Nimeingiwa na wasiswasi hawa na wale wale wa "Hit en Run"

Madai yake ni kwamba hana mpenzi,ila najua fika nia yake ni Kula.mzigo na kusepa,

Sasa.nataka kujuzwa hawa jamaa wana njia kuu kweli??

yaani ushayaleta huku jamani...niamini siwezi kukusaliti
 
Hiyo haina usupastaa mtu yoyote anaweza akaonja akasepa kama nia yake ni hiyo...
 
Hivi mtu yeyote maarufu hasa mwanamuziki anaweza kumudu kubaki njia kuu,
Kuna njemba moja mtaani inanisumbua kweli eti inamapenzi na mimi,Nimeingiwa na wasiswasi hawa na wale wale wa "Hit en Run"

Madai yake ni kwamba hana mpenzi,ila najua fika nia yake ni Kula.mzigo na kusepa,

Sasa.nataka kujuzwa hawa jamaa wana njia kuu kweli??

Kama ni star usithubutu umkabizi nembe hiyo utakuja kujuta.
 
tuambie kwanza wewe uko njia gani?

isije ikawa wewe ndie unataka kuchepuka...

au wote wawili mnataka kuchepuka..!

jifunze kutoka kwa kim kardashian na kanye west..


Mimi nasearch,

Ila huyu aloniangukia hapana kwa kweli
 
Mimi nasearch,

Ila huyu aloniangukia hapana kwa kweli

mchunguze dada... kumbuka ukisach ukakosa, utakuja kumrudia ukakuta keshapata..

wewe utabaki kwenye dilemma!
 
....Hana mpenzi? Fanya upelelezi, mwanamke akitaka kitu hashindwi, tatizo leno mnaamini na ku initiate game within a day.

..Kuwa kicheche au kutokuwa ni tabia, japo wamati mwingine hao masuperstars wanakumbwa na vishawishi vingi kutokana na mazingira ya kazi zao.

..Nikutakie kila la heri, umeona kale kamdoli hakafikii nature eeeh!!

Hhaha...

Untill I get a real man kamdoli lazima kahusike
 
Back
Top Bottom