Dada anayehitaji kula raha weekend hii PM tafadhali

Dada anayehitaji kula raha weekend hii PM tafadhali

nipe nikupe

Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
21
Reaction score
5
Kama kuna dada anaona yupo mpweke na anahitaji kampani ya ukweli this weekend, plz pm, mimi niko dar.
 
kapime kwanza ngoma copy uiweke hapa, maana user name yako ina utata isiye kuwe akupe penzi umpe UKIMWI.au unaonaje kama uanahitaji sana wadada si unge oa mmoja awe ana kupa kampani na kumega kama roho yako itakavyo.
 
Acha uzinzi na JF sio danguro...
 
kapime kwanza ngoma copy uiweke hapa, maana user name yako ina utata isiye kuwe akupe penzi umpe UKIMWI.au unaonaje kama uanahitaji sana wadada si unge oa mmoja awe ana kupa kampani na kumega kama roho yako itakavyo.

Atakayetaka atakutana na copy hyo na kama atakuwa na wasiwasi, tunatinga hospital of her choice.
 
Wala sio uzinzi kwani walioweka hili jukwaa hawajui umuhimu wake? Heshimu maamuzi yangu watu8

Kwa hiyo hili unalolifanya unalipa jina gani?

Walioweka jukwaa hili wameandika hivi katika homepage ya Love Connect:

Forum: Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!

Thread yako sioni kama inakidhi matakwa hayo
 
Kwa hiyo hili unalolifanya unalipa jina gani?

Walioweka jukwaa hili wameandika hivi:

Forum: Love ConnectUnatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!

Mi mchumba wangu kapoteaa nisaidie kumpataa! !!!
 
Kwa hiyo hili unalolifanya unalipa jina gani?

Walioweka jukwaa hili wameandika hivi katika homepage ya Love Connect:

Forum: Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!

Thread yako sioni kama inakidhi matakwa hayo

Ok nimekuelewa ila nitakayekutana naye anaweza kuwa mchumba
 
Jiamini mwanaume,wanawake hata hapo ulipo wapo,acha udomo zege.
 
Back
Top Bottom