Kama vile unavyobadilisha mitandao ya kijamii.. Mara facebook, mara wozap, mara 2Go, mara Qeep, mara Tagged, mara Jf, mara Mf, mara twira, mara chit., mara.....!
Hua tunataka kujua wengine wanafaidi nini huko waliko. Ila ukishajua sasa unachagua sehemu moja ambayo haipiti siku hujaitembelea... Na huyo ndio mke/mume sasa.
Just a Fasihi.. do at your own risk.