Wadau poleni na majukumu na niwatakie weekend njema hasa hii weekend ya mwisho ya mwaka wa 2013.
Si kusudio langu kuwachosha kwa hili langu zito ingawa si zito kuliko mengine ila naomba tupeane...
Iwe ni pande za manzese, mwananyamala, kinondoni na kwingineko, aisee mnatia aibu.
Yani mmechagua kazi zote mkaona hiyo ya kuvunja amri ya sita ndo inawafaa? Yani mnaona papuchi zenu hazina...
Well, the song is very self-explanatory and that's exactly how I feel right about now. Anybody else feel like I do?
This is one of Young Money's classics. To me it never gets old. Specifically...
Habari zenu Wana JF...
Nilikuwa na uhusiano wa kimapenzi na dem moja hivi ana kazi nzuri pesa ya kula kwake haisumbui, mwanzoni mapenzi yalikuwa moto moto, anytym nikimhitaji anakuja, hata...
Wana-JF, naomba mwenye hekima aseme ni kabila lipi hapa Tz mabinti wake wana sifa nzuri za kuwa wanawake wa ndoa (wake)....? achilia mbali tabia za mtu mmoja mmoja kiujumla yaan...?
Naweza kupata confrontation za ajabu kuhusiana na hii mada lakini penye ukweli lazima tupakubali hata kama panauma !kisaikolojia mwanadamu kaumbwa kujilinda vyovyote vile
Uongo umekuwa ni sehemu...
MIMI NAITWA MARK SIBUGA NIPO MBEYA.NATAFTA MKEWA KUOA AMBAYE ATAKUWA NA VIGEZO HIVI
MCHA MUNGU
DIGRI MOJA NA KUENDELEA
MWEUPE/MAJI YAKUNDE
ANAFANYA KAZI,BIASHARA NA KUAJIRIWA KTK SERIKALI...
Habarini wadau
Member mwenzenu yamenikuta, dunia naiona chungu.
Nilikua na mazoea ya kupitia bar flani hivi napiga mbili tatu kisha narudi nyumbani. Nikaweka mazoe na barmaid (ya kawaida...
Ni kisa cha kweli kilichotokea miaka michache iliyopita. Ni familia moja mkoani Mbeya ambapo mme akiwa mfanya biashara mke alikuwa mama wa nyumbani. Mume alikuwa ana kawaida ya kuhifadhi kiasi...
Wanajamvi naomba tujadili umuhimu kuhusu hilo,
Mfano mimi toka Chuo nina nyingi za wanaume na wanawake halikadhalika. Marafiki ambao ki ukweli tuna matani mengi sana!
Ukijaribu kuwaeleza ukweli...
Nimetumiwa na mtu. Hii ni kwa ambao hamjaoa >>>
Nimekuwa najiuliza kwanini miaka hii miwili wanaume wengi nisiowatarajia wameoa na wengine wanaoa,ghafla ghafla tu unashangaa Kaboom..Meseji...
Ninaishi na mwanamke ambaye nimezaa naye mtoto mmoja ila hatujafunga ndoa.
Home kwetu wanamfahamu, kwao pia wananifahamu.
Kiukwel kwa sasa nimefall sana kwa mwanamke mwingine ambaye ndiye hasa...
Habar za jumatatu wana jukwaa naomben msaada juu ya jambo hili nina mchumba wangu jaman kuna siku aliniambia anashida na pesa kadondosha kwa bahat mbaya alikuwa akienda dukan kununua mahitaji ya...
Heshima zenu wakuu.Mimi napendekeza watu wanaokuja hapa wako serious kueleza matatizo yao kuomba ushauri kweli tujitahidi kuwapa mawazo mazuri na sio kuanza kuleta kejeli na dhihaka kwa watoa...
Ni kwa kipindi kirefu nmefanya uchunguz wa kina sana na nmegundua kitu lakin sijajua kwann inakuwa hvyo? Nmefanya uchunguz nmegundua kuwa askari polis wengi wanapendwa sana na machangudoa au ni...
Makahaba katika baadhi ya sehemu za mji mkuu wa Kenya , Nairobi, wametupilia Mbali vazi la 'Mini skirt na kuanza kutumia Hijab kama njia ya kuwavutia wateja wao, jambo ambalo limekashifiwa vikali...
Kila gumu unalokutana nalo mbele yako, limebeba siri ya mafanikio yako!
Linda Moyo wako Usinung'unike kutokana na magumu unayokutana nayo katika mizunguko yako!
Lakini ufundishe moyo wako kuamini...