Nimekosea au ni sahihi

Nimekosea au ni sahihi

pure crazy

Senior Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
190
Reaction score
37
Habar za jumatatu wana jukwaa naomben msaada juu ya jambo hili nina mchumba wangu jaman kuna siku aliniambia anashida na pesa kadondosha kwa bahat mbaya alikuwa akienda dukan kununua mahitaji ya kwao akapoteza akapitia ofisin akaniomba ni msaidie kiasi chochote kitakachopatikana nikamsaidia baadae akanambia samahi sikupoteza nilikuwa nakutania nilichukia sana kwa sababu hakuniweka wazi.

Leo sasa kapitia ofisin kanambia na shida na hela kiasi fulan nikamwambia sina sasa baadae kidogo kanitumia ujumbe mfupi wa maandishi kuwa mie na wewe bas nikampigia namba busy baadae akaniandikia msg kuwa usipige mie nisifiche nimeuchuna kimya hadi sahv sasa je ni sawa mpenzi wako akikuomba pesa hata mia tano ukamwambia huna anakwambia let stop here mahusiano yetu ni sahihi jaman je nifanyeje coz kanambia niachane nae napenda majibu mazuri nikipo kosea naomba radhi asante.
 
tamthilia tmu sana hiyo!

hebu cheza kama wale jamaa wa pangako sa yo, timeless-, the long wait na revenge!!

fight for your soledad kijana, mbona mchezo mzuri huo! mchezee na wewe usiwe mgumu kama kalapina!! lols!
 
.. hivi hawa "wachumba" wanapatikana wapi? naona wapo rare sana mtaani kwetu.
 
Habar za jumatatu wana jukwaa naomben msaada juu ya jambo hili nina mchumba wangu jaman kuna siku aliniambia anashida na pesa kadondosha kwa bahat mbaya alikuwa akienda dukan kununua mahitaji ya kwao akapoteza akapitia ofisin akaniomba ni msaidie kiasi chochote kitakachopatikana nikamsaidia baadae akanambia samahi sikupoteza nilikuwa nakutania nilichukia sana kwa sababu hakuniweka wazi.

Leo sasa kapitia ofisin kanambia na shida na hela kiasi fulan nikamwambia sina sasa baadae kidogo kanitumia ujumbe mfupi wa maandishi kuwa mie na wewe bas nikampigia namba busy baadae akaniandikia msg kuwa usipige mie nisifiche nimeuchuna kimya hadi sahv sasa je ni sawa mpenzi wako akikuomba pesa hata mia tano ukamwambia huna anakwambia let stop here mahusiano yetu ni sahihi jaman je nifanyeje coz kanambia niachane nae napenda majibu mazuri nikipo kosea naomba radhi asante.

Hayo ni mapenzi ya kitoto.




Nakudanganya bwana sio kweli!!!!!!!!!
 
Mshukulu sana kwani, amekuonyesha mapema kuwa hafai kuwa mke....
 
Habar za jumatatu wana jukwaa naomben msaada juu ya jambo hili nina mchumba wangu jaman kuna siku aliniambia anashida na pesa kadondosha kwa bahat mbaya alikuwa akienda dukan kununua mahitaji ya kwao akapoteza akapitia ofisin akaniomba ni msaidie kiasi chochote kitakachopatikana nikamsaidia baadae akanambia samahi sikupoteza nilikuwa nakutania nilichukia sana kwa sababu hakuniweka wazi.

Leo sasa kapitia ofisin kanambia na shida na hela kiasi fulan nikamwambia sina sasa baadae kidogo kanitumia ujumbe mfupi wa maandishi kuwa mie na wewe bas nikampigia namba busy baadae akaniandikia msg kuwa usipige mie nisifiche nimeuchuna kimya hadi sahv sasa je ni sawa mpenzi wako akikuomba pesa hata mia tano ukamwambia huna anakwambia let stop here mahusiano yetu ni sahihi jaman je nifanyeje coz kanambia niachane nae napenda majibu mazuri nikipo kosea naomba radhi asante.

ikiwa umeshapitia taratibu zote za utoaji posa kwa wazazi/walezi wake ni mchumba wako. kama bado ni hawara tu.

three things

1 - Ana akili za kitoto (kama bado ni hawara-piga chini) kama tayari ni mchumba yaani ulishatoa posa kwa wazazi wake, anatakiwa akalishwe afundishwe.

2 - Ana wanaume wengi na hivyo she is testing na ameanza kuona you are not her type

3 - Au ni malaya tu kama walivyo professional cunts wengine, you are just an innocent victim.
 
Labda amezoeshwa mapenzi ya pesa

Tukio la kwanza alikuwa anakupima ajue wewe ni kimwaga au la
 
Hivi wewe unacho subiri ni nini? Hiyo anakwambia ameshapata mwingine. Tafuta mwingine wako wengi tu. Hapendwi mtu ila pochi tu.
 
Back
Top Bottom