Mada moto: Hakuna hata mmoja ambaye hadanganyi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,085
Naweza kupata confrontation za ajabu kuhusiana na hii mada lakini penye ukweli lazima tupakubali hata kama panauma !kisaikolojia mwanadamu kaumbwa kujilinda vyovyote vile
Uongo umekuwa ni sehemu muhimu ya mahusiano uongo umekuwa njia kuu ya maisha yetu ya kila siku karibia asilimia 99 ya wanadamu wote duniani ni waongo na wanaongopa daily
kuna kitu kinaitwa positive lies yani uongo wenye tija lakini huu ni asilimia ndogo sana
Kuna baadhi ya watu wasipoongopa hujikuta wagonjwa yani kwao uongo ni hobby yao
tunaongopa kwenye familia zetu tunaongopa makazini tunaongopa kwenye jamii tunaongopa kila mahali na maisha yanasonga
Usiiyaamini yote uambiwayo na mwenzi wako bali yale utakayoyaona na kuyashuhudia mwenyewe yanayotokea bila kupanga wala kujiandaa
 
Kuna mazingira mpenzi wako lazima ahisi umemcheat,na kweli upo innocent ila ni vigumu akuelewe.Mi hapo huwa nampiga fiksi mpaka afurahi mwenyewe
 
Naweza kupata confrontation za ajabu kuhusiana na hii mada lakini penye ukweli lazima tupakubali hata kama panauma !kisaikolojia mwanadamu kaumbwa kujilinda vyovyote vile
Uongo umekuwa ni sehemu muhimu ya mahusiano uongo umekuwa njia kuu ya maisha yetu ya kila siku karibia asilimia 99 ya wanadamu wote duniani ni waongo na wanaongopa daily
kuna kitu kinaitwa positive lies yani uongo wenye tija lakini huu ni asilimia ndogo sana
Kuna baadhi ya watu wasipoongopa hujikuta wagonjwa yani kwao uongo ni hobby yao
tunaongopa kwenye familia zetu tunaongopa makazini tunaongopa kwenye jamii tunaongopa kila mahali na maisha yanasonga
Usiiyaamini yote uambiwayo na mwenzi wako bali yale utakayoyaona na kuyashuhudia mwenyewe yanayotokea bila kupanga wala kujiandaa

524187_364049790372008_261446025_a.jpg
 
Kama 99% ya wanadamu ni waongo umenifanya nione hata haya ulioyaandika ni uongo tu
 
Hahahahaa Utafiti bwana !!!hebu jiridhishe kama kweli tangu kupambazuke leo hujadanganya !!
 
Zipo kazi ili maisha yaendelee inabidi uchanganye uongo na kweli, ila sekta nyengine ukiongopa tu umeharibu
 
Ni kweli hasa katika mahusiano. Lkn kwangu mimi uongo ni namba one dislike. Sipendi kudanganywa na ndio maana mimi pia huwa sisemi uongo, lkn endapo itatokea ni bahati mbaya sana na huwa inanitesa sana!
 
We acha kutuongopea hapa,,unadanganya sana and u dont feel any guilty
 
haya mambo haya, lakini wengine mpaka waongopewe....
 
Back
Top Bottom