Kuna haja yakubadili namba za simu ukioa/Olewa?

Kuna haja yakubadili namba za simu ukioa/Olewa?

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,318
Reaction score
845
Wanajamvi naomba tujadili umuhimu kuhusu hilo,

Mfano mimi toka Chuo nina nyingi za wanaume na wanawake halikadhalika. Marafiki ambao ki ukweli tuna matani mengi sana!

Ukijaribu kuwaeleza ukweli kwamba sasa upo ndani ya ndoa masihala yanakuwa mengi; kitendo kinachopelekea kuwa na ujumbe kwenye simu ambazo akizikuta mpenzi wako kinasababisha kudhiwa kukuamini na ungomvi mwingi ndani ya nyumba.

Mie naona suluhu ni kubadili namba ya simu. Nyie mnaonaje?
 
Ukijijua huwez kuji-control na maskhara bora tu ubadil maana hao old wanaeza kukuvurugia ndoa eh!si unajua chumvi ikzd kwenye mboga ina harbu ladha,so watch out
 
Kama unajimini na ndoa yako watangazie hao marafiki zako kuwa sas utani basi mwenzenu naanza maisha na mwenzangu, kama wew ni wale wakuchukuliwa na upepo kama vumbi kwenye mlima sawa badilisha laini
 
Ukijijua huwez kuji-control na maskhara bora tu ubadil maana hao old wanaeza kukuvurugia ndoa eh!si unajua chumvi ikzd kwenye mboga ina harbu ladha,so watch out

Me nawazagga ni udhaifu mkubwa kufanya hivyo kwa mke wangu anapaswa ahakikishe anakomesha mwenyew na akishindwa ajipme mwnyw km kubadili no o what
 
kuwa na marafiki wa kike sio chanzo cha kubadili phone contact,

otherwise uwe ulikuwa na personal agendas na hao unaotaka kuwabadilishia namba..

a serious cheater will own tens of phone numbers... thats the game rule!

ukitumia contact moja unajiumiza wewe..
 
Kama unajimini na ndoa yako watangazie hao marafiki zako kuwa sas utani basi mwenzenu naanza maisha na mwenzangu, kama wew ni wale wakuchukuliwa na upepo kama vumbi kwenye mlima sawa badilisha laini

hata hivyo mapenzi sometimes hayana formula unaweza tangaza badae yakakubumia ikawa janga tena
 
It depends on the kind of life you were living before you got married.

Kama mimi my husband was my first man before we got married and didn't see anyone else for the entire duration I was dating him.

Therefore I didn't change my number.
 
kuwa na marafiki wa kike sio chanzo cha kubadili phone contact,

otherwise uwe ulikuwa na personal agendas na hao unaotaka kuwabadilishia namba..

a serious cheater will own tens of phone numbers... thats the game rule!

ukitumia contact moja unajiumiza wewe..

nachozungumzia hapo ni kuepusha wasiwasi tu coz licha ya kuaminiana sana sometime yakizidi mwingine anaanza mashaka japo ukweli anaujua so ni ile kuondoa chembe hizi za mashaka
 
Misri watu 529 wamehukumiwa kifo.. JAMANI..

Oups! Im out of...!?
 
Aaaah mi nibadili ya nini wakati si-cheat,kwanza huwa na girl wangu tukiwa pamoja tunakuwaga free sana na simu full kuaminiana
 
Utabadili mpaka lini jamaa angu? Mbona mnaongea tu na mwenzio na yanaisha, life inaendelea?

Na ya nyuma iravusha teri
 
Sio muhimu sana kinachotakiwa ni mipaka kati yako na maswaiba wako coz kwa vyovyote vile kuna ile mizaha isiyokuwa ya lazima. hapo ndio kujicontrol kunahitajika na ikishndkana badilisha lain
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom