Hii imekaaje wakuu

Hii imekaaje wakuu

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,286
Reaction score
13,460
Ni kwa kipindi kirefu nmefanya uchunguz wa kina sana na nmegundua kitu lakin sijajua kwann inakuwa hvyo? Nmefanya uchunguz nmegundua kuwa askari polis wengi wanapendwa sana na machangudoa au ni marafiki sana wa machangudoa. Au ndio ile mtazamo wa watu wengi kuwa askar polis ni malaya?
 
^^
images (20).jpg
^^
 
Hapana, wanakuwa wanawapa chochote kitu pale wanapotaka kuwaaresti mara kwa mara mwisho inakuwa urafiki
 
Yaaa hii ndo sababu kuu..pia katika msuala ya majambazi cos wachangu wanajua maovu mengi ya usiku
 
Ni kwa kipindi kirefu nmefanya uchunguz wa kina sana na nmegundua kitu lakin sijajua kwann inakuwa hvyo? Nmefanya uchunguz nmegundua kuwa askari polis wengi wanapendwa sana na machangudoa au ni marafiki sana wa machangudoa. Au ndio ile mtazamo wa watu wengi kuwa askar polis ni malaya?
Utafiti wako haujakamilika, utakujaje na majibu ya uchunguzi bila kujujua sababu
 
Back
Top Bottom