Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kumekuwepo na wimbi kubwa kwa hawa dada zetu, kuwa na watoto bila mume.Ukimuuliza anakwambiatumeachana na hawakotayari kuweka wazi sana. Sasa mimi nashindwa kuelewa tatizo ni sisi wanaume, au ni...
6 Reactions
329 Replies
35K Views
Mpo? Nilimruhusu mke wangu aende kwao kipindi cha uchanguzi kwani kura yake aliichukulia huko wakati alipoenda kuwajulia hali. Sasa kinachonitia kiwewe ni kuwa amerudi na shanga kiunoni...
1 Reactions
92 Replies
21K Views
Mweupe anaendana na yeyote Pia mweupe + mweupe sio mbaya Maji ya kunde + maji ya kunde sio mbaya Maji ya kunde + mweupe sio mbaya Mweusi + maji ya kunde sio mbaya Mweupe + mweusi sio mbaya Onyo...
8 Reactions
147 Replies
16K Views
Tokea dunia ipunguze forced marriage na wasichana kuwa na maamuzi kuhusu ndoa zao,kila kukicha wadada nao wamekua wakiweka vigezo kadhaa kwa mwanaume anayetaka kumuoa,mara awe na degree, awe...
6 Reactions
31 Replies
4K Views
Kuna story moja ya kweli kabisa binti wa kazi/beki tatu alikuwa anamnywesha mtoto wa bosi wake viroba. Ni hivi mabosi ni wafanyakazi hivyo binti alikuwa akibaki home na mtoto peke yake. Baada ya...
9 Reactions
46 Replies
7K Views
Nawasalimu wote, Tangu mwezi February mwanzoni tumekuwa na mgogoro na mke wangu, mgogoro huu ulitokana na yeye mke kupoteza pesa zake za mkopo kiasi cha tshs million sita katika mazingira ya...
7 Reactions
183 Replies
22K Views
Happy Birthday to Myself Today is my birthday I celebrate with myself I'm singing good cheer No one is near But me Today is the day I've turned 21 I hope I have a lot of fun even if I spend it...
2 Reactions
7 Replies
948 Views
Habari jamani humu ndani, Hivi mtu unakuwa na ugomvi kila siku na mkeo huku sababu za ugomvi hata hazieleweki,visilani tu kila kukicha hakuna jema utalomfanyia akaridhika yeye kila jambo...
2 Reactions
103 Replies
11K Views
Habari MMU. Naomba kujulishwa lilipoamoa Hili jukwaa pendwa Maana leo silioni.nawasilisha.
1 Reactions
96 Replies
8K Views
Wanawake viumbe wa ajabu unakuta mtu huna mpango nae lakini siku jaribu kumuomba namba ya rafiki yake, Utasikia muombe mwenyewe, wengine wanaenda mbali eti sina namba yake wakati ni marafiki...
3 Reactions
30 Replies
5K Views
Wakuu, naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu. Ana best friend wa kiume ambaye wamekuwa close for a long time. Wanaelewana sana, wanashare almost everything, and deep down, anahisi huyo ndo...
4 Reactions
12 Replies
686 Views
Kuna baadhi ya wadada wanatumia mbinu za kuhadaa wapenzi wao ambazo zinahatarisha afya zao! wadada hawa wanatumia 'kistic' kipo kama chaki wanaingiza ukeni na kinayeyuka kidogo kidogo huwekwa...
10 Reactions
208 Replies
27K Views
Sijui hili pepo Huwa linatoka wapi? Mnaweza kuwa mpo vizuri mkiwa masikini ila mkianza kufanikiwa ndo mwanamke atajibadilisha na kutamani kupeana talaka Watu hufikia hatua ya kusema Bora...
3 Reactions
14 Replies
530 Views
Salam wadau, Mwezi wa pili mwanzoni kuna binti niliona bora tu ahamie getoni kwangu tuishi kama mke na mume japokuwa bado sijajitambulisha kwao lakini wazazi wake wananifahamu!!! Lengo langu...
16 Reactions
82 Replies
4K Views
Wadau hamjamboni nyote? Uzi maalum kwa Watu maarufu na matajiri wenye ndoa imara na hawajawahi kutoa talaka, bado wanaishi na wake zao. Karibuni
2 Reactions
12 Replies
804 Views
Brother ana mke wake (mmachame) wana miaka 8 ya ndoa sasa na wana Nyumba yao mitaa fulani hapa Dar. Sasa juzi amekutana na rafiki wa mke wake akawa anampa hongera ''shemeji kweli nimekukubali ile...
2 Reactions
44 Replies
7K Views
Wakuu naskitika kuyasema haya, ila ukweli ni huu mkeo akikuaga anaenda kufanya "body massage" na maseur (mfanya massage) awe mwanaume kuna 100% chance ya kuchapiwa. Take it or leave it
4 Reactions
58 Replies
17K Views
The phenomenon of couples looking alike after getting married for a long period of time is known as SPOUSAL CONCORDANCE. Couples begin to share some physical resemblance as a result of years of...
1 Reactions
4 Replies
400 Views
Morogoro: Katika hali isiyo ya kawaida, kijana Karimu Said (25) almaarufu Anti Karimu aliyekiri kufanya biashara haramu ya kuuza mwili (ushoga), ameangua kilio redioni wakati akiutangazia umma wa...
3 Reactions
16 Replies
8K Views
Mwanzoni wengi huwa makini kuchukua tahadhari / precautions lakini kadri muda unavyoenda mazoea yakiwa tabia wanajisahau sana, mwisho wa siku wanaingia kwenye mfumo Under age / Chini ya miaka 18...
17 Reactions
28 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…