Habari zenu wana jamvi nimda nilipotea sasa narudi tena...
mwenzenu sijui nitajiepusha je na mtego huu
tangu nimeyajua mapenzi mwenzenu nimekuwa na mausiano na kama simke wa mtu basi alisha wahi kuwa na mtu na sina hamu kabisa na vijana umri wangu japo kuwa sitembei na mimama na wala mtu mzima sana silelewi na mpaka sasa nipo na dizaini hii.
Na mpaka sasa sijuhi nifanye nini kwani kila nikijitaidi kutafuta alie single nakuta tayari ana mtu wake na itachukuwa mda kujua kama alikuwa na mtu.
na juzi tu nilimpata mke tena kanipenda mwenyewe kumbe ana mchumba amesha mtolea posa sasa nashindwa kuelewa nini tatizo jamani.
Ushauri wenu ndo chamsingi kwangu jamani