Haipendezi...!

Haipendezi...!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,085
mko kwenye mahusiano lakini, hamli pamoja hamtembei pamoja hamlali pamoja na mkilala mnalala na nguo tena mzungu wa 6, mnasalimiana kwa kulazimisha! mnaviziana kwenye kila jambo! HAIPENDEZI..!
 
kuna muda inabidi hivyo hasa kipindi pesa inakuwa imekata au bishara imebuma au kazi umesimamishwa na kuna msururu wa mahitaji ndani kodi ya nyumba hujui utalipaje na hata bila ya umeme buku 2 unaikimbia.
 
Ukiona hivyo, jua hata mapenzi walianza kwa kuviziana.
 
mko kwenye mahusiano lakini, hamli pamoja hamtembei pamoja hamlali pamoja na mkilala mnalala na nguo tena mzungu wa 6, mnasalimiana kwa kulazimisha! mnaviziana kwenye kila jambo! HAIPENDEZI..!

mko kwenye mahusiano /or mmeoana????
 
Ukiona hivyo mmoja kachapuka na kashakula limbwata la mchepuko sasa anamchukia mwenzi wake anamuona adui kwa kila kitu akili yake yote inakuwa imehamia kwa mchepuko
 
mko kwenye mahusiano lakini, hamli pamoja hamtembei pamoja hamlali pamoja na mkilala mnalala na nguo tena mzungu wa 6, mnasalimiana kwa kulazimisha! mnaviziana kwenye kila jambo! HAIPENDEZI..!

Ukiona mtumzima mamaaaa, analia mbele za watu ujue kuna jamboooo.

Ndo maisha usikate tamaa ipo siku mambo yatakua shwari
 
Hizo ni dalili za kuchokana ila mnaishi kwa mazoea tu
 
Hizo ni dalili tosha za katiba mpya kuchakachuliwa.
 
hayo saasa ni mapenzi kurupushi...!

sio mahaba niue tena...
 
ni kawaida tuu, si kila siku itakuwa ijumaa..hizo ni changamoto tuu katka mapenzi
 
mko kwenye mahusiano lakini, hamli pamoja hamtembei pamoja hamlali pamoja na mkilala mnalala na nguo tena mzungu wa 6, mnasalimiana kwa kulazimisha! mnaviziana kwenye kila jambo! HAIPENDEZI..!

Kweli haipendezi. Sa mnaviziana ili iweje? 3
 
heeeh..na bado watu wanataka kubaki njia kuu...matatizo hayo ss
 
Back
Top Bottom