Kwa nini hampendi pikipiki?

Kwa nini hampendi pikipiki?

fakenology

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Posts
1,002
Reaction score
673
Kutokana na uhalisia ninaouona wanawake wako motive zaidi kuendesha na kumiliki magari kuliko pikipiki.
Hivi hii inatokana na nini?
 
WAPO EXCEPTIONALS..
kenya-bodaboda-makena-340_227.jpg
 
wanaogopa papuchi itapata moto
 
wanunue pikipiki ili iweje wakati wana uwezo wa magari?

siyo kweli kwani hata wale wenye kipato cha kawaida huwa wananunua pikipiki na kuwakabidhi wapenz wao waendeshe,
ika akinunua gari ndio ile kauli ya 'tunaweza' hufanyiwa kaz
 
Hutu tu Toyo ni big joke. Kitu Honda 250 cc
Tyta
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha za kwenu huwa hazipati moto hebu tutake radhi tafadhali japo umenichekesha sana

yetu si ina gamba gumu kwa nje sasa nyie kile kinanilii kipo kama ulimi halafu ukalie 250 cc si itakua majanga kitaiva
 
Eti wakiendesha zinawatia hamu ya kunanihiii, zinatekenya pale kati
 
Back
Top Bottom