Nahitaji mchumba

Nahitaji mchumba

Unajua kwanini hakuna anaekusaidia??, rudi andika tangazo la uchumba vizuri, hili sio tangazo
 
Wana MMU mbona mmegoma kumsaidia kijana wetu ,kulikoni,Naona kijana kaomba msaada lakini watu mmekaa kimya tu kwanini?
 
Hata mti nao mchumba!! Nyoosha maelezo eboh!
 
Jamani mchumba aliye tyari kutoka zenj mi nahitaji gfrnd wa kujiachha na katika for the rest of my life
 
Hata mti nao mchumba!! Nyoosha maelezo eboh!

kulaleki, nakuvutia upepo mkali sana, nataka nikuwekee bandiko ni jinsi gani niavyokupendelea!! lols..

afu ole wako unipige kibuti..
 
au mchamba wima kabisa!.. lols..

why zanzibar lakini?

au aende akabandike kwenye vituo vya nchomeke dole na uzin hapo atawapata wengi ndipo wanaposhukia
 
Mkuu mbona hufunguki vizuri,sasa kama hapa uko kwenye keyboard peke yako yako tu huwezi kujieleza vizuri ukikutana naye uso kwa macho angalia usije tafuna kucha bure
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom