Pombe ni nini? Nimechoka mimi

Pombe ni nini? Nimechoka mimi

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2010
Posts
8,084
Reaction score
15,069
Sijui niiweke hii news sehemu gani kule habari mchanganyiko naona kama sio penyewe kule chit chat sipaeLewi kule intelijensia kumejaa wanoko tu siredi itafungwa kule jokes na nin sijui sio paHala pake.
Anyway mada yenyewe ni hivi.

JE ni kitu gani ushawahi kufanya ukiwa umepiga tungi then baadae ukaona umefanya kitu cha kiboya?

Kwangu nshafanya haya.

1. Nishaenda chooni kukojoa baada ya haja nikawa nanawa sasa bahati mbaya nkadumbukiza sabuni choooni....
Kilichofuata niliingiza mkono chooni na kuiibua sabuni huku ikiwa na haramuuuu nkaiosha sabuni kwanza then na mimi nkaendelea kujiosha nayo....daah kila nikikumbuka ni kinya.

2. Nishavua viatu kuingia chooni na baada ya hapo nikalala nje.

JE wewe nini kilikukumba ? Hebu tupia kituko chako cha kweli hapa.

Long weekend.....
 
Mangi na bia lazima nyama choma bila hivyo mzee utaendelea kufanya zaidi ya hayo

Mkiambiwa mle mshibe ndio mnywe mnakomaa sasa madhara yake ndio hayo
 
mnajisifu upuuzi, mambo km hayo kapost Facebook ndugu
 
Mangi na bia lazima nyama choma bila hivyo mzee utaendelea kufanya zaidi ya hayo

Mkiambiwa mle mshibe ndio mnywe mnakomaa sasa madhara yake ndio hayo

Mangi nyama choma tafuna sana ila akili ikishahama lazma utupie kituko tu hata kumtongoza ma mkwe
 
mnajisifu upuuzi, mambo km hayo kapost Facebook ndugu

Za kuambiwa changanya na za kwako...
Poor thinking capacity unafikiria ndani ya box tu.....
Hujui kuna mafunzo ndAni yake humu
Kalale.......
 
Tyta sina picha aseee

e287dd34a5d4921e7f07f72e6d021dc1_view.jpg


Namsaidia tu kijana yuko kwenye honeymoon
 
situmii aina yoyote ya vilevi zaidi ya madawa ya hospitalini na PAPUCHI!!...

otherwise nikupe stori ya quinine ilichonifanya siku moja...

nakumbuka nilishalala kati kati ya barabara nilipozidiwa na dozi, kizunguzungu kilizidi... nikachapa usingizi na jua kali la saa nane mchana....

Kuhusu papuchi, nilishakosa UE moja sababu ya dem aliniahidi papuchi muda wa paper... nikapiga chini paper, nikaenda kugegeda!

nb: excel hatumii kilevi chochote zaidi ya dawa za hospitalini na PAPUCHI!!!...

sent from kanda maalum, tarime-KJ 324.
 
situmii aina yoyote ya vilevi zaidi ya madawa ya hospitalini...

otherwise nikupe stori ya quinine ilichonifanya siku moja...

nakumbuka nilishalala kati kati ya barabara nilipozidiwa na dozi, kizunguzungu kilizidi... nikachapa usingizi na jua kali la saa nane mchana....

nb: excel hatumii kilevi chochote zaidi ya dawa za hospitalini...

sent from kanda maalum, tarime-KJ 324.

Hahahaha hyo itakua methanoL.......
 
Back
Top Bottom