Meet the woman who makes my heart Tingle

Meet the woman who makes my heart Tingle

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
760
Meet the woman of my dream,the woman behind my succes today,i am proud of her,she made me know how to talk,eat,birth,study,run doing everything oooh my late mother Apolonia Silayyo i love u!
 
Pole sana mkuu kwa kupoteza mzazi, lakini pamoja na hayo yote amekuachia mali au naweza sema urithi muhimu sana ambao unajivunia nao sasa
 
Pole sana rainfall,kokote alipo atakuwa anajivunia wewe kuwa mwanawe.
 
usiache kumuombea dua na kutoa sadaka kwa ajili yake. Hayo ndo matendo yatakayomnufaisha aliko
RIP mama Rainfall
 
Meet the woman of my dream,the woman behind my succes today,i am proud of her,she made me know how to talk,eat,birth,study,run doing everything oooh my late mother Apolonia Silayyo i love u!

R.I.P Mother..
 
Back
Top Bottom