Faida 5 za mwanamke kutoka nje ya ndoa

Faida 5 za mwanamke kutoka nje ya ndoa

Oldaganje

Member
Joined
Apr 9, 2014
Posts
33
Reaction score
9
Hizi ndio faida 5 za mwanamke kutoja nje ya ndoa(1)Atakua mbunifu kwenye mambo yetu yale(2)Mapenzi yataongezeka ili kukuzuga wewe(3)Gharama za matumizi kama saluni zitapungua(4)Mkeo hatakua na stress tena(5)Hatakusumbua wakati ukitoka kwa kimada wako.Hivyo muache mkeo atafute penzi jipya ufurahie ndoa yako usitazame hasara tu tazama na faida.
 
Ongezea faida namba -

6. Akijapata gonjwa la kisasa msaidiane kuuguzana sio ukimbie
 
Hizi ndio faida 5 za mwanamke kutoja nje ya ndoa(1)Atakua mbunifu kwenye mambo yetu yale(2)Mapenzi yataongezeka ili kukuzuga wewe(3)Gharama za matumizi kama saluni zitapungua(4)Mkeo hatakua na stress tena(5)Hatakusumbua wakati ukitoka kwa kimada wako.Hivyo muache mkeo atafute penzi jipya ufurahie ndoa yako usitazame hasara tu tazama na faida.

Ikimbie zinaa
 
Na zingine hizi
1.Kupoteza pride yake
2. Risk ya magonjwa
3. Risk ya kuzaa mamluki
4. Wasiwasi wa kufumaniwa
 
Nyingine hii -Ni rahisi kufumuliwa marinda ya K inakua kubwa ,loose hivyo basi kum motivtisha mume wake azidi kutoka nje zaid na ikiwezekana kukupiga chini
 
Mmmhhh....Wonnders will never cease
 
Ww mleta mada hujui uchungu wa kuchapiwa kabisa utakuwa

1. Mwanamke changu usiejuwa maana ya kuolewa wala maana ya heshima ya ndoa na miiko yake.

2. Kama nimwaume ni malaya asiyejuwa maana ya kuowa wala maana na heshima ya ndoa na miiko yake au nimwaume ambaye hajaowa na mjinga usifaham maana halisi ya mke na mme.
 
Karibu sana jf ila nasikitika sana maana uzi wako wa mwanzo tu tayari tumeshakujua kwaba wewe ni mtu wa aina gani
 
Back
Top Bottom